Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

HAYA NDIYO MAGOLI YA GRIEZMANN YALIYOIPELEKA UFARANSA FAINALI YA EURO 2016...

Ni Mchezo wa nusu fainal uliosubiliwa baada ya masaa kadhaa hivi, katika nusu fainali ya michuano ya ya pili ya Euro 2016 mchezo uliokuwa unamuhusisha timu mwenyeji, usiku wa July 7 2016 timu ya Taifa ya Ufaransa ambao ndio wenyeji walicheza dhidi ya...

Read more

HII NDIO TAARIFA YA USAHILI WA VICTOR VALDES EPL...

Mnamo July 7, 2016 katika habari zilizoshika headlinew ni pamoja na hizi za usajili katika ligi kuu Uingereza, nimeipata hii hapa ya usajili wa goli kipa wa zamazi wa FC Barcelona na Manchester United Victor Valdes mwenye umri wa miaka 34 kurudi Uingereza...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 8, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINEWS...

Naendelea kukusogezea habari kuu zilizojili katika Magazati ya Tanzania leo endelea kuwa nami kili siku nikiwa naendelea kukujuza kila linalojili kila siku.

Read more

MAGAZETI TAYA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 7, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINES...

Naendelea kukusogezea habari kuu zinnazojitokeza katika Dunia yetu leo, endelea kuwa nami kila siku...

Read more

LIONEL MESSI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 21 JELA...

Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Mess amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa ya kutumia ulaghai wakati wa ulipaji ushuru, imeripotiwa na vyombo vya habari Uhispania. Wakati wa kesi, waendesha mashtaka walisema...

Read more

VIDEO:ZAMARADI AFUNGUKA ALICHOKITALAJIA BAADA YA MAHOJIANO YAKE NA MWANAUME ANAYEJIHUSISHA NA MAPENZI YA NJINSIA MOJA...

Ndugu msomaji nikukumbushe kkidogo nyuma kama unakumbuka hivi karibuni Mtanazaji wa Clouds alishika headlines baada ya kuanya mahojiano na mwanaume anayejihusisha na mapenzi ya jinsiia moja . Zamaradi anasema... "Nilitarajia kwamba kuna watu watakuwa...

Read more

MASHABIKI WA WEMA ROHO JUUJUU KWA FURAHA KWA UAMUZI WA DIAMOND...

Inasemekana kati ya vitu wanavyovipenda mashabiki wa Wema ni kuona kuna amani kati yake na Diamond. Pamoja na kuwepo kwa tetesi kuwa kwamba Diamond na Wema hazipandi na kwamba kila mmoja ana hamsini zake inamaana ambapo Diamond yupo kwa Zari huku Wema...

Read more

WEMA SPETU AFUNGUKA JUU YA DIAMOND KUMPOST INSTAGRAM JANA...

July 5, 2016 mwimbaji staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz aliingia kwenye headlines miandaoni baada ya kupost kwenye Instagram kuhusu watu kujitokeza kwa wingi kwenye show iliyoandaliwa na Mpenzi wake wa zamani Wema Sepetu, Christian Bella na Idris....

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMETUANDIKIA HAYA JULY 6, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLNEWS...

Ndugu msomaji naendelea kukusogezea habari kuu zilizojitokeza katika Dunia yetu leo, endelea kuwa nami kila siku ninapokusogezea habari hizo kalibu.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974