Klabu ya Barcelona italazimika kushinda mechi zake zote za mwisho ili kushinda taji la ligi ya La Liga kwa kuwa huenda wapinzani wao wasipoteze hata pointi moja kulingana na kocha Kuis Enrique. Viongozi Barcelona walioanza mwezi wa April wakiwa na pointi...
Serikali ya Tanzania imewahakikishia wakaazi wa jiji la Dar es Salaam kwamba inatatua tatizo la uhaba wa maji mjini humo na hivi karibuni tatizo hilo litakuwa historia. Kulingana na gazeti la The Citizen nchini Tanzania,naibu waziri wa maji na unyunyizaji...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametaka kukamatwa kwa mmiliki wa nyumba ilioanguka mjini Nairobi na kuwaua watu saba. Kenyatta aliyezuru mkasa wa tukio hilo pia amewataka wakaazi wa nyumba zilizopo karibu na eneo hilo kuondoka wa kuwa nyumba hizo zimethibitishwa...
Polisi katika mji mkuu wa Kenya Nairobi wanasema kuwa takriban watu saba waliuawa wakati nyumba moja ilipoanguka katika mtaa mmoja mjini humo. Waokoaji wanaendelea kutafuta watu wanaohofiwa kukwama ndani ya vifusi vya jengo hilo la ghorofa sita kufuatia...
Ikiwa ni kawaida yangu kila siku kukuletea habari mbalimbali kutoka katika Magazeti ya Tanzania, leo nimeanza pia kwa kuletea post chache za Magazeti, nikianza na Gazeti la SANI lina habari inayosema "Freemason yawakana Mastaa", Gazeti la CHAMPIONI lina...
Video ya Chura ya Snura 'inaenda kubreak the Internete' Wasanii wamesema hawataki kusikia TCRA wala BASATA na Youtube ni mkombozi wao, Radio na TV sio kitu pekee wanachokitegemea tu na hivyo kama masharti yakiwa mengi internet inaweza kuwapeleka popote...
Mkutano huo uliandaliwa na Jopo la Ngazi ya juu la katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon aliloliteuwa manzaoni mwa mwezi huu, kusaidia kufanya uchambuzi na kutoa mapendekezo ya namna ya kuchangia kasi ya kuwezesha wanawakekiuchumi ifikapo 2030....
Rais wa wa Tanzania Dkt John Magufuli amelitaka jeshi la polisi nchini pamoja na ofisi ya mwendesha mashitaka kujirekebisha katika utenda kazi na kujiepusha na kashfa. Amesema taarifa zinaonesha jeshi la polisi limekuwa likihusishwa na matumizi mabaya...
Gavana wa Jimbo la Indiana nchini Marekani amemuunga mkono mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha Republican Ted Cruz siku nne kabla ya mchujo muhimu katika eneo hilo. Akifanya kampeni siku ya ijumaa,bwana Cruz alimpongeza Gavana Mike Pence,akisema...
Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa timu yake ilipoteza harakati za kushinda ligi wakati wa kucheza mechi za nyumbani dhidi ya timu zilizo chini ye jedwali. Arsenal iliopo katika nafasi ya nne imeshinda mechi sita kati ya mechi 16 ilizocheza....