Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
06 Jul

LIONEL MESSI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 21 JELA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Mess amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa ya kutumia ulaghai wakati wa ulipaji ushuru, imeripotiwa na vyombo vya habari Uhispania.
Wakati wa kesi, waendesha mashtaka walisema maeneo salama yenye kinga dhidi ya ushuru Belize na Uruguay yalitumiwa kuficha mapato kutokana na uuzaji wa haki za picha za mchezaji huyo.
Lakini Messi amesema hakufahamu lolote kuhusu masuala yake ya kifedha.

STARZTZ

LIONEL MESSI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI 21 JELA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974