Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZAIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 21, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINEWS...

Mi napenda kukusogezea zile post kuu zilizobebwa kwatika Magazeti yetu kila siku usisite kuwa nami..

Read more

ZRI AWAFUNGUKIA WATU WOTE WANAOSEMA YEYE NI GOLD DIGGER...

Hii ni baada ya watu wengi huko mtandaoni kulalamika kwamba Mama Tiffah alimaarufu kama Zari kwamba yeye ni Gold Digger, wakisema upo kimaslahi zaidi kumyonya Diamond. Sasa kawajibu hivi "When people call you a gold digger show them how you dig, too much...

Read more

MREMBO RUBY AMZINGUA MOTRA THE FUTURE NA KUSEMA HAYA...

Msanii wa Bongo fleva Ruby ambaye alipaswa kuonekana kwenye wimbo wa Yamoto Band unnaofahamika kama "Suu", asema sababu ya yeye kutoonekana ni kwamba alikuwa Busy!.

Read more

WEMA MJAMZITO TENA, ADAIWA CHANZO NI KUGOMBANANA IDRIS...

Mama Diamond alipuka kwa Furaha huku Daktari akisema safari hii sio mapacha lakini Wema nae anasema Mtotot Huyu nitamuita Karma ampiga Dongo Zari.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 19, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINEWS...

Ni kila siku naendelea kukusogezea habari kuu zinazojili katika Ulimwengu, iusikae mbali nami Mwandishi wako Elipidius Geofrey..

Read more

MTANZANIA AWEKWA REHANI KWA BIASHARA YA UNGA PAKISTAN...

"Biashara ya Unga ni Balaa" Hii ni baada ya Mtanzania mmoja kukamatwa na madawa ya Kulevya huko Pakistan, pata habari kamili kwa kujinunulia Gazeti lako la MTANZANIA sasa.

Read more

NEY WA MITEGO AKAMATWA NA POLICE, MASTAA MATUMBO JOTO...

Akishutumiwa kuhojiwa siku mbili huku mastaa wengine roho zaozikiwa juu, pata habari hii kamili kutoka katika Gazeti la IJUMAA.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 18, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINEWS...

Ndugu msomaji usisite kuendelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kukujuza kila linaloendelea katika ulimwengu.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974