Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAPYA YAZUKA, BABA AKE KAJALA MBARONI KWA UTAPELI...

Mzazi wa Mrembo Kajala inamaana baba ake imedaiwa ametiwa Mbaroni kwa utapeli. Ni mstaafu wa jeshi la Polisi, adaiwa kujipatia mil 10 kimjinimjini,Kajala aongea,RPC amfuatilia.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 25, 2016 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari muhimu zinazoendelea kujili katika ulimwengu huu kupitia Magazeti.

Read more

DUH!! HAPONI MTU HAPA, HII HAPA FORENI YA GIGY MONEY!...

Hii ni kali sasa, Mtungo wa Gigy Money wachukua sura mpya,angalia walivyozungukana hawa wote alafu useme kuna uzima hapo?!!! usiondoke bila kuacha Comment mtu wangu

Read more

HAYA MASWALA YA HAINAGA USHEMEJI MWIKO, MUME WA...

Hii inamkuta Mrembo Kajala baada ya mumewe kulejea amekuja na hizi kali, adai ataanza kupambana na waliochepuka na mke wake!!!

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 24, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu mi najua nini unapenda, nazidi kukusogezea habari kemkem zilizojili katika ulimwengu wetu hu wa leo kupitia Magazeti.

Read more

VIDEO:MREMBO ANAYEONGOZA KWA KUPIGA SELFIE KATIKA MAZINGIRA HATARISHI DUNIANI...

Katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya huyu Mrembo anayejulikana kama Angeja Nikolau, kwa muda sasa watu wamekuwa wakiendelea kupiga picha mbalimbali na katika maeneo mbalimbali katika mtindo wa Selfie lakini aliyokuja nayo huyu Dada inashangaza...

Read more

AFANYIWA OPERESHENI NA KUTOLEWA VISU 40 TUMBONI...

Mtu wangu kama unavojua kila siku yanatokea mambo mengi Duniani, kuna yanayofurahisha , kuchekesha na mengine yanayohuzunisha. Leo nimekuletea hii habari mpya na yakushangaza kweli iliyotokea huko India. August 22 2016 raia wa India mwenye umri wa miaka...

Read more

HUU NI UKATIRI NA UNYAMA, MREMBO AZIKWA AKIWA HAI...

Hii imetokea kweli, Mrembo huyu alizikwa akiwa Hai, Taarifa hizi zimethibitishwa na Madaktari, inasemekana mkono wa huyo mrembo ulikuwa umetokeza juu ya udongo, nabaada ya kufukua Udongo mwili wakutwa ukiwa na matambara kinywani kitendo kilicho wapelekea...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 23, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu endelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kujua nini kinaendelea katika Ulimwengu wetu huu kupitia Magazeti yetu ya leo.

Read more
<< < 10 20 30 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974