Endelea kuwa nami mtu wangu kwaajili ya kuzipata habari bora kabisa kutoka kwangu mwandishi wako Elipidius G Mtagurwa. Unaweza kunipata faceboock kwa kuandika Jina Chuyan'g Custarah, na hapo utaweza kunipata kwa urahisi.
Mtu wangu leo nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na hii kutoka kwa Staa Linah anayetokea katika tasnia ya bongo fleva akiwa na hizi habari zinazomuhusu, habari hii inasema kutokea katika mtandao wake wa Instagram ambako mwanadada Linah aliamua kukata...
Katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya huyu mrembo Jokate, leo ameingia kwenye headlines zetu baada ya hii habari inayomuhusu inayosema, "Niko tayari kufa kwaajili ya mume wangu"- Jokate, akili kuwa baba yake ameanza kudai mahari ya posa yake....
Mahakama kuu Kanda ya Bukoba imewahukumu kunyongwa hadi kufa Pankras Minago na Lameck Bazil baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia na kumuua kwa kumchoma na vitu vyenye ncha kali na kunyofoa baadhi ya viungo vyake mlemavu wa ngozi, Magdalena Andrew...
Ni October 28, 2016 katika tasnia ya bongo movie, leo Wastara ameonekana katika headlines zetu na hii habari inayomuhusu, habari inasema Wastara hakomi mapenzi, na yeye baada ya kusikia hilo akajibu akisema Damu yake bado inachemka hawezi kuunyama moyo...
Ktika habari nilizonazo hapa Studio ni pamoja na hii ya mzee Majuto na mke wake, noma sana habari zinasema Mke wa Alhaj Mzee Majuto acharuka, amjia juu mrembo anayetikisa ndoa yake, huku mzee Majuto akibanwa na kutoa ya moyoni mwake. Inasemekana ni baada...
Kwa wapenzi wangu wa burudani siku zote nahakikisha haupitwi na chochote mtu wangu, baada ya ukimya mrefu kidogo tangu auwachie mdundo wake wa ‘i dont wanna know’ kwa wapenzi wa msanii kutoka Nigeria, Mr May D good news kwenu amerudi tena kwenye radio...