Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MATER J ATANGAZA RASMI KURUDI KWENYE GAME...

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J ametangaza habari njema ya kurudi kwenye kutayarisha waimbaji wa Muziki baada ya kupumzika kwa miaka kadhaa.

Read more

ROSE NDAUKA KUJA NA HII MPYA YA 'ANGELA' BAADA YA MIAKA MIWILI KUPITA...

Mwigizaji mahiri Rose Ndauka kutoka katika Tasnia ya Swahiliwood, baada ya kuacha kushiriki kazi za watayarishaji wengine sasa aja na hii kazi yake mpya inayoitwa 'Angel' ambayo ni kazi yake mwenyewe kwani alisema hawezi kushiriki tena kazi za wengin...

Read more

MSANII RAYMOND AANZA KUTAMBA NA PESA ZAKE...

Wakati raia mtaani wakilalamika kuhusu ukata wa hela toka Rais Magufuli aingie madarakani Msanii kuoka katika lebo ya wasafi (WCB) ameonyesha mabunda ya pesa zake kwa kupost picha hii Instagram.

Read more

MR BLUE AFUNGUKA MAZITO JUU YA ALIYEKUWA MPENZI WAKE NA BARAKA DA PRINCE...

Mr Blue amekanusha tetesi zilizowahi kuwepo baina yake na Da Prince juu ya aliyekuwa mpenzi wake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Baraka Da Prince.

Read more

DIAMOND PLUTNUMZ APANGA KUMFYANIA BIRTHDAY PART TIFFAH, MLIMAN CITY...

Tiffah mtoto wa Diamond ana followers 623,049 Instagram, aya unahitaji nini hapo usema mtoto Tiffah ni supastaa kuliko kuliko wote Afrika?

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974