Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

UVUTAJI WA SHISHA WAPIGWA MARFUKU, HATHARI ZAKE TISA HIZI HAPA...

Sasa kama kuna watu bado wanachukulia poa Suala la Serikali kutoa tamko kukataza matumizi ya Shisha, wakati huo huo Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda katusogezea athari tisa za uvutaji wa Shisha yakiwemo matatizo ya kiafya na Kisaikolojia kwa...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO, JULY 5, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINEWS...

Naendelea kukusogezea habari kuu zilizojili katika Pande kuu zote za dunia, endelea kuwa nami kila siku..

Read more

RAIS PAUL KAGAME "NIKIWA TANZANIA NAJISIKIA KAMA NIKO NYUMBANI"...

Rais wa Rwanda Mh. Paul Kagame akihutubia katika maonyesho ya sabasaba amesema muda wote anapokuwa Tanzania anajisikia yupo nyumbani na kusema sera ya Hapa Kazi Tu na kusema kuwa tuendelee na kazi.

Read more

INATISHA SANA, JAMAA AKUTWA NA KICHWA CHA BINADAMU...

Katika hali ya kushangaza wengi mwanaume mmoja ambaye ni mfanya biashara huko Mkoani Mbeya, amekutwa na kichwa cha binadamu baada ya kufukua kaburi na kuchukua kichwa cha marehemu, inadaiwa kuwa alifikia uamuzi huo ili afanikiwe kibiashara.

Read more

MO MUSIC AKAMATWA UGONI KWA BABY J, NOMA SANA...

Mkali wa Bongo fleva, Moshi Katemi 'Mo Music' amedaiwa kunaswa 'kimalovee' na Msanii mwenzake, Jamila Abdallah 'Baby J' ambaye muda mwingi makazi yake ni Zanzibar lakini wameonekana kujiachia mala kwa mala katika Maeneo mbalimbali jijini Dar es salaa...

Read more

KALIBU JAPAN AUTOCCOM UJIPATIE GARI BORA NA IMALA KWA BEI NAFUU...

Je! umekuwa ukijiuliza maswali mengi kuhusu ununue gari gani imala? acha kuwa na mashaka Japan Autoccom wamekuja kwa ajili yako kwani utajipatia gari Imala na bora kwa Bei nafuu. Wasiliana nasi kupitia namba 0759110974, 0718370006. KARIBU.

Read more

KALIBU UNUNUE GARI IMALA NA BORA KABISA KUTOKA JAPAN KWA BEI NAFUU...

Je! ulikuwa ukijiuliza ununue gari gani imala? Usiwaze sana kwani Japan Autoccom wapo kwaajili yako. Kalibu ujipatie Gari aina uitakayo kwa bei nafuu. wasiliana nasi kwa kupitia 0759110974, 0718370006. KARIBU.

Read more

KALIBU UJIPATIE GARI BORA NA IMALA KUTOKA JAPAN...

Je! ulikuwa ukiwaza mala kwa mala ununue gari aina gani? aya sasa Japan ndilo jibu lako wanakuletea magari Imala na kwa bei nafuu. wasiliana nasi kwa namba 0759110974, 0718370006. KARIBU.

Read more

KARIBU UJIPATIE GARI IMALA KWA BEI NAFUU KUTOKA JAPAN...

Je! umekuwa ukijiuliza ununue gari gani Imala?? Kalibu ujipatie Gari Bora na Imala kutoka Japan. Je unafikili utafanyaje? Usiwaze sana wasiliana nasi kupitia namba 0759110974 au 0718370006. KARIBU.

Read more

ABDU KIBA ATOA UJUMBE HUU MZITO KWA LEBO YA WCB...

Akizungumza kipindi cha XXL cha Clouds FM, Msanii huyo ya Bongo fleva Abdu Kiba amesema 'Sjafikilia kuimba na msanii kutoka WCB, kwasababu sijaona anayeimba type ya muziki wangu.' Aliendela akidai kuwa lebo ya WCB inabebwa na Promotion na akasema "ata...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974