Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

New VIDEO: Chin Bees Kababaye

Chin Bees katuletea hii video yake mpya inayoenda kwa jina la "Kababaye", anatualika kuitazama. Wanene Entertainment presents "Kababaye" Video performed by Chin Bees.The beat was produced by Luffa and Video was directed by Destro in Tanzania. ©2017 Wanene...

Read more

VIDEO: Hizi ni dakika 2 zikionyesha Hat-Trick ya Okwi iliyookoa Milioni 5, Ikiwa ni mechi ya Simba ft Ruvu shooting...

Ilikuwa nhi august 26, 2017 Simba yavunja record ya kufunga Magori mengi iliyokuwa ni mechi dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo wa ufunguzi wa Simba dhidi ya Ruvu Shooting umekuwa mchezo wa kwanza wenye magoli mengi, baada ya Simba kufanikiwa kupata ushindi...

Read more

DIAMOND PLATNUMZ, HARMONIZE, RICH MAVOKO, RAYVANNY - ZILIPENDWA (OFFICIAL VIDEO)

Hii hapa ile video mpya ya WCB Zilipendwa imayoonekana kuzishik headlines zote. Ukimaliz kuicheki acha Coment yako hapo ili ajue umeipokeaje. The Song features all WCB WASAFI Artists including Diamond Platnumz , Rayvanny , Harmonize , Mbosso ,Lavalava...

Read more

FANIKISHA MALENGO YAKO: Epsodi 1. Darasa letu la Fanikisha malengo yako linaanza leo...

Jitahidi kufuatilia kila siku katika blog yangu ya STARZTZ, kwaajili ya kuelimika, kuburudanika, kuzijua habari na mengine mengi. Lakini pia napenda kukukaribisha kusoma kitabu changu hiki ambacho nitakuwa natoa elimu kila siku na ni kitabu chenye mwendelezo...

Read more

NEW AUDIO: Jux – Utaniua | Mp3 ISIKILIZE HAPA...

Ni jana tu August 23, 2017 siku ambayo Jux ametualika kuisikiliza Ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la "Utaniua". Isikilize na utoe maoni yako ili akipita ajue una maoni gani juu ya Nyimbo yake hii mpya.

Read more

VIDEO: HII HAPA NYIMBO YA Yemi Alade – Knack Am...

Icheki na uache Comment hapo chini ili akipita ajue una maoni gani juu ya video yake hii mpya. Download here - http://smarturl.it/KnackAm Effyzzie Music Group presents the official video for Yemi Alade's single "KNACK AM". Shot and directed by Clarence...

Read more

WORLD OF TO DAY : FROM FANIKISHA MALENGO YAKO..

In life success you need to perform these three steps > Choices >Chances >Changes :> You would have to make a Choice for your Chances to make Changes: By Chuyan'g Custarah

Read more

MY TOMORROW WILL BE GREATER THAN TO DAY!!!!

Good morning people of God!!! this will be a quote of to day, please try it through the book of "FANIKISHA MALENGO YAKO" by CHUYAN'G CUSTARAH

Read more

FANIKISHA MALENGO YAKO NA ELIPIDIUS G. MTAGURWA LEO!!!! USICHELEWE....

Ndugu yangu naomba nikukaribishe katika somo la kila siku la "Skills Development" litakalokuwa linaendelea hapa kila siku. Jitahidi kufuatilia mwendelezo kila siku kwani nitakuwa ninatoa elimu hiyo kwa vipengele. Lakini kwa atakayehitaji nakala ya kitabu...

Read more

VIDEO: CHRISS BROWN KAJA NA HII VIDEO YAKE MPYA INAYOITWA "QUESTIONS" ICHEKI HAPA...

Usisahau kushare na kuacha Coment yako hapo ili akipita aone una maoni gani juu ya ngoma yake hiyii!!! "Questions" available everywhere now! Apple Music - http://smarturl.it/CBQuestions/applemusic Spotify - http://smarturl.it/CBQuestions/spotify Amazon...

Read more
1 2 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974