Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

NA HIVI NDIVO ILIVOKUWA JANA KATIKA FAINAL YA EURO...

Hii ni baada ya ufaransa kukubali kulala kwa piga la bao moja la dakika ya 90. Mchezo huu kwa kipindi cha kwanza ulionekana kuegemea upande mmoja ambapo timu ya Ufaransa ilionekana kuwa na Makali zaidi ya Portugal baadaye katika kipindi cha pili mambo...

Read more

NIKUTOKA KATIKA VIWANJA VYA IKULU DAR ES SALAAM KUMPOKEA WAZIRI MKUU WA INDIA...

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akimpokea Waziri Mkuu wa India. Kalibu sana Mhe Nalendra

Read more

USIKOSE LEO MECHIKALI YA FAINALI LEO KATI YA URENO NA UFARANSA...

Mtu wangu ukiwa unasubilia kwa nguvu mchezo mkali utakaochezwa leo mchezo wa fainali ya michuano ya Euro 2016 kati ya timu ya taifa ya Ureno dhidi ya taifa ya Ufaransa huu ni mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa Stade De France wenye uwezo wa kuchukua...

Read more

HUYU KIJANA APACHIKWA JINA 'MKEREKETWA WA MWENDO KASI' BAADA YA HILI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli hivi kalibuni katika ziala zake alikutana na kijana aliyeonekana kuwashangaza wengi baada ya kumshangilia Mhe Rais kwa nguvu zake zote. angalia video hii hapa....

Read more

JE UNAJUA MHE. JOHN POMBE MAGUFULI KAFANYA NINI??...

Ni mambo mengi sana ameyaanya mpaka wakati huu, Anastahili kupongezwa kwa namna ya kipekee. Je ewe ndugu yangu msomaji una maoni gani juu ya huyu Mzee wa hapa Kazi tu???? acha comment hapo nione maoni yako juu ya Mhe Rais.

Read more

RAIS WA UGANDA AVUNJA LEKODI YA KUINGIA DARASANI NA KUFUNDISHA...

Rais wa Uganda Mhe Museven amedhihirisha kuw akiiongozi wa kipekee na wa aina yake baada ya kuingia darasani na kuwafundisha wanjeshi wake chipukizi namna ya kufanya kazi.

Read more

TECNO WAJA NA SIMU MPYA C9, IKUTE SOKONI LEO...

Simu kali ya Tecno Camon C9 yenye uwezo wa hali ya juu katika kupiga picha ikiwa na Camera mbili (Mbele na nyuma) za Megapixel 13, uwezo wa 4G LTE na Technolojia mbalimbali za kisiasa imeingia leo sokoni.

Read more

MAGAZETI YA T TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 9, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLNEWS...

Naendelea kukusogezea habari zinazojili katika Dunia yetu leo, endelea kuwa nami kila siku...

Read more

SUMA LEE AFUNGUKA LIVE KUACHA KUJIHUSISHA NA MASWALA YA MUZIKI...

Katika habari zilizoshika headlines July 8, 2016 ni pamoja na hii ya Mwanamziki aliyetikisa na headlines na hits single yake ya Hakunaga ameengia tena kwenye head line baada ya kuhojiwa kutokuonekana kimziki kwa mda mrefu amefunguka na kusema "Mimi bhana...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974