Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

VIDEO: HIVI NDIVYO LIVERPOOL WALIVYOINYOOSHA LEEDS UNITED KWA BAO 2-0...

Usiku wa November 29 2016 timu ya Liverpool ilicheza mchezo wa EFL Cup dhidi ya timu ya Leeds United katika uwanja wa Anfield, katika mchezo huo Liverpool waliocheza katika uwanja wao wa nyumbani wamefanikiwa kushinda goli 2-0. Magoli ya Liverpool yakifungwa...

Read more

VIDEO: HII NI BEHIND THE SCENE YA WIMBO WA LINAH "RAHA JIPE MWENYEWE" ALIVYOKIMBIZWA NA MBWA...

Video ya wimbo wa ‘Raha jipe mwenyewe’ ya Linah ilikuwa na mambo mengi wakati wa uandaaji wake, na kama utakumbuka pia zilisambaa picha zikimuonyesha akiwa kitandani na Idriss Sultan hali ambayo iliyosababisha maneno mengi sana kwenye mitandao ya kijamii...

Read more

VIDEO MPYA: HII HAPA VIDEO MPYA KUTOKA KWA NAVY KENZO -'FEEL GOOD'

Mtu wangu kama unavojua kwamba mimi nipo kwaajili ya kukuletea zile habari mpya mpya. Msanii Navy Kenzo anatualika kuisikiliza hii Video yake Mpya inayoenda kwa jina la "Feel Good" The Industry Studios presents the official music video for Navy Kenzo's...

Read more

RONALDO AZICHANGIA FAMILIA ZA WACHEZAJI WALIOKUFA KWENYE AJARI YA NDEGE...

Bado dunia na ulimwengu wa soka kwa sasa unaomboleza msiba wa msafara wa timu ya Chapocoense ya Brazil uliyopata ajali wakati wakielekea kutua uwanja wa ndege wa Medellin Colombia. Ajali hiyo ya ndege imehusisha watu 81 kati ya hao 76 wamepoteza maisha...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 30, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Ndugu msomaji wa makala zangu napenda kukukalibisha kwa mala nyingine tena kwaajili ya kujua ni nini kinaendelea Nchini kupitia Blog yangu ya STARZTZ.

Read more

SHOO YA DIAMOND PLATNUMZ NA ALIKIBA YAVUNJWA, DIAMOND AGOMA...

Mtu wangu wa nguvu yawezekana ulikuwa hujajua kilichokuwa kikiendelea. Sasa nikujuze kwamba, ilikuwa imeandaliwa shoo moja kabambe kuwapambanisha mastaa wawili Diamond Platnumz na King Kiba, shoo ambayo ingefanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 29, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu wa nguvu naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia. Usikose kuungana nami kwaajili ya kujua ni nini kinaendelea ulimwenguni kupitia STARZTZ.

Read more

VIDEO: HAYA NDIYO MAGORI YA ARSENAL DHIDI YA BOURNEMOUTH KATIKA MCHEZO ULIOCHEZWA NOVEMBER 27, 2016..

November 27 2016 klabu ya Arsenal iliikaribisha klabu ya AFC Bournemouth katika uwanja wake wa Emirates kucheza mchezo wao 13 wa Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017. Katika mchezo huo Arsenal wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1, magoli yakitiwa...

Read more

VIDEO: MANCHESTER UNITED YALAZIMISHWA SARE YA BAO 1-1 DHIDI YA WEST HAM UNITED...

West Ham United ndio walikuwa wa kwanza kupata goli dakika ya 2 kupitia kwa Diafra Sakho , lakini Zlatan Ibrahimovic aliisawazishia Man United goli dakika ya 21 ya mchezo. Hata hivyo mchezo huo uliyomalizika kwa sare ya goli 1-1, umemalizika kwa kocha...

Read more

JACKLINE WOLPER AONYESHA UTAPELI WAKE LIVE, ASEMA MAPENZI SIO KITU PESA KWANZA...

Akizungumza na STARZTZ ametoa neno moja tu, baada ya kuhojiwa anampango gani na Harmonize kauli yake ilikuwa ni 'Mapenzi nyuma Pesa mbele'

Read more
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974