Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

BIDHAA MPYA KUTOKA ORIFLAME ZENYE KUIFANYA NGOZI YAKO KUWA YENYE KUNG'ARA

Hizi ni Bidhaa Mbalimbali kama Pafyum,Make-up, Lip-shine, Lip-stick, Lotion za kusoftisha ngozi, Mafuta na Sabuni za kuondoa Chunusi, Vipimo vya aina ya Ngozi na vingine vingi. Wanakuelekeza na kukufundisha jinsi ya kutumia bidhaa zao na kukupima aina...

Read more

WEMA SEPETU NA MABUSU YA UKWELI KWENYE HII FILAMU MPYA CHEKI HAPA...

Ukiwa Muigizaji kubali yote. Kuna scenes ambazo zitakuitaji upiane busu na mtu ambaye sio mpenz wako na aliyecheza kama mpenzi wako ili kupata uhalisia wa tukio huna budi kubarishana mate kwenye screen. Sasa hii imetokea kwa Wema Sepetu ambapo kuna clip...

Read more

JIPU!! KUMBE HAWA MASTAA DIAMOND NA ZARI WOTE WANACHEPUKA...

Staa wa Bongo fleva Diamond Platnum amekanusha juu ya stori zilizozagaa mtandaoni kwamba mrembo wake Zari a.k.a Mama Tiffa anachepuka na Ivan huku Diamond akichepuka na Video qeen.

Read more

RAIS MAGUFULI JANA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA JANA UWANJA WA NDEGE NA KUKUTA MADUDU HAYA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli, ameagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa kushirikiana na Vyombo vya Dola kuchukua hatua mala moja dhidi ya dosari zilizopo katika kitengo cha ukaguzi wa mizigo na abiria katika uwanja...

Read more

HII NDIYO SABABU YA TYGA KUACHANA NA MPENZI WAKE KYLIE JENNER...

Rapper Tyga na mpenzi wake Kylie Jenner wameachana kwa mala nyingine tena. Hata hivyo kwa mujibu wa TMZ wamesema yawezekana ndo mapenzi hayo ndo bye bye!!!

Read more

HAYA NI MAJANGA YALIYOMPATA LINAH SANGA MTANDAONI...

Msanii wa Bongo fleva Linah a.k.a ndege mnana amefunguka moja kati ya vitu ambavyo hawezi kuvisahau katika maisha yake yote ni pamoja na hii, alisema wakati wako shule yeye na mwenzie walifanya tukio moja ambalo hatalisahau ambalo alisema walikuwa na...

Read more

UNENE WATAKA KUZUA KIZAZAA NDOA YA JOYCE KIRIA...

Mtangazaji wa Kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa kupitia EATV, Joyce Kiria ametueleza wazi kwamba hivi sasa yupo kwenye mikakati ya kupunguza mwili ili asije kupoteza ndoa.

Read more

MAHAKAMA YAIAMURU TOGO KUWALIPA AY NA MWANA FA SH.BILIONI 2.18...

Mahakama ya Hakimu Mkazi Ilala imeiamuru Kampuni ya Mawasiliano Tigo kuwa lipa kiasi cha Shilingi Bilioni 2.18 Marapa Mwinjuma 'Mwana FA' na Ambwene Yessaya 'AY' kwa kosa la kutumia nyimbo yao kama Caller tune (Mwitikio wa simu) bila ruhusa wala Mkat...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974