TOA NENO MOJA KWA KINGOZI HUYU..
/image%2F1983706%2F20170328%2Fob_a086a6_images.jpg)
Wewe kama kijana mtafutaji ungependa kumwambia nini Mhe Nape Nauye aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa Tamaduni na Michezo?
Read moreKwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974
Wewe kama kijana mtafutaji ungependa kumwambia nini Mhe Nape Nauye aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa Tamaduni na Michezo?
Read moreLeo March 28, 2017 Aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamadunu na michezo, Nape Nnauye leo amekabidhi ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara hiyo, Dk. Harrison Mwakyembe. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za Wizara Dodoma
Read moreHatimae michezo ya hatua ya 16 bora hatua ya marudiano ya UEFA Europa League imemalizika usiku wa March 16 2017 kwa michezo nane kuchezwa, tayari timu nane zimepatikana baada ya michezo ya marudiano. Kujua timu ipi itacheza na timu gani na kama itaanzia...
Read moreNi kama kawaida yangu kukusogezea vile vitu vikali vinavyozidi kuushamili katika tasnia nzima ya Bongo fleva na baada ya hap sasa kwa wale wapenzi wa video kutoka Bongoflevani hii ni nyingine ambayo nisingependa ikupite ni kutoka WCB, Harmonize ameiachia...
Read moreNdugu msomaji usisite kuungan nami kila siku kwaajili ya kupata habari mbalimbali kutoka katika pande zote za Dunia.
Read moreLori aina ya Isuzu TX lenye namba za usajili T 721 BVV lililokuwa limebeba mawe likiwa limepinduka katika kijiji cha Masisiwe na kusababisha majeruhi na kifo cha mtu mmoja ambaye alikuwa katika lori hiloTaarifa za awali kutoka eneo la tukio zinasema kuwa...
Read moreKama kawaida yangu mtu wangu wa nguvu naendelea kukusogezea zile habari zinazoendelea kutufikia hapa studiion kwetu. Usisite kushere na kunifollow katika page yangu ya Instagram kama Chuyan'g Custarah pamoja na Facebok jina hilohilo!!! Uploaded by nafiaafrica...
Read moreKesi inayomhusu Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ya juu ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya Heroine, inatarajiwa kusikilizwa tena kesho Alhamisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa mara ya mwisho Februari 16, mwaka huu.
Read moreDogo Harmorapa ainunua bifu ya Diamond na Alikiba, achezea mvua ya matusiHarmorapa ni kama amemwaga petrol kwenye moto wa gesi. Rapper huyo aliyeteka vichwa vya habari kwa sasa nchini ameonekana kuanza kuununua ugomvi wa Diamond na Alikiba.Harmo kupitia...
Read moreUnaweza kutoamini lakini inapofikia wakati ikathibitishwa ni lazima kuamini. Tumekuwa tukiamini kwa kusikia na wakati mwingine kwa kuona kwa macho yetu kuwa Kinyonga ndiye kiumbe Pekee anayeweza kubadilisha rangi yake kulingana na mazingira. Leo nimekutana...
Read moreKwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974
June 7 2020
June 7 2020
June 18 2018