Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

NI SIKU 72 SASA DHIDI YA VITA YA NAIBU SPIKA NA DK TULIA ACKSON NA UKAWA...

Kukamilika kwa siku 72 za Mkutano wa Bunge la bajeti kumeacha rekodi mpya ya wabunge wa Upinzania kususia vikao vya Bunge kwa muda mrefu zaidi kutokana na madai ya kutoridhishwa na utendaji wa Naibu Spika, Dk Tuulia Ackson katika Bunge.

Read more

NI KATIKA SELFIE YA OMMY DIMPOZ NA WYNE ROONEY...

Ni mkatika mwonekano wa smile, Ommy Dimpozi akiwa na Wyne Rooney Mchezaji wa timu ya Manchester United walipokutana huko Ibiza.

Read more

CHERSEA YATANGAZA KUKAMILISHA USAJILI MPYA...

Klabu ya Chelsea ambayo msimu ujao itaanza kunolewa na aliyekuwa kocha wa timu ya taifa ya Italia katika Michuano ya Euro 2016 Antonio Conte imetangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshamnbuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji alyekuwa anachezea Marseille Michy...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 4,2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINEWS...

Nudgu msomaji endelea kuungana nami katika Nafasi mbalimbali nikiendelea kukujuza kila linaloendelea katika Ulimwengu...

Read more

STORY:JAMAA AFANYA BONGE LA SHEREHE BAADA YA MKE WAKE KUFUZWA KAZI...

Akizungumza na STARZTZ Bwana huyo alisema, wakati anamuoa mwanamke huyo hakuwa na kazi, lakini baadae mwanamke huyo alikuja kutafutiwa kazi na Ndugu yake katikaKampuni moja ya simu akawa analipwa kama milioni 3 kwa mwezi wakati huo mimi mshahara wangu...

Read more

AUDIO:HII NDO NGOMA MPYA YA CHRIS BROWN NA WIZ KID, HII HAPA...

Wasanii wa Afrika wamezidi kufanya vizuri katika tasnia nzima ya muziki ambapo Wiz Kid amezichukua headlines za June 30, 2016, akilipoti kuwa wizkid amefanya Collabo na Msanii wa Marekani Chrisbrown kwenye hit yake mpya itwayo "SHABBA"

Read more

PAUL MAKONDA APIGA MARUFUKU VITU VITATU...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam RC Paul Makonda July 2, 2016, akizungumza kwenye kongamanola dini lilofanyika katika uwanja wa Taifa alipiga Marufuku vitu vitatu visionekane katika Mkoa wake wa Dar es salaam, alisema "Kwanza kwa watumiaji wa biashara ya...

Read more

ITALIA WAKUBARI KUTOLEWA NJE LICHA YA KUWA NA REKODI IMALA...

Robo fainali ya tatu ya Michuano ya Mataifa ya Ulaya 2016 imechezwa usiku wa Julai 2, 2016 kwa kuzikutanisha timu za taifa za Ujerumani dhidi ya timu ya taifa ya Italia, huu ni mchezo ambao mashabiki wa soka kwa kiasi kikubwa walikuwa wanautabiri ndio...

Read more

"NI KWELI HAWANA TATIZO?" DIAMOND AWEKA HESHIMA...

Meneja wa diamond Platnumz, Babu Tale ameonyesha kuwa wao hawana tatizo na Alikiba baada ya kupost kipande cha video kinachoonyesha picha ya msanii huyo ndani ya studio ya wasafi Records. Ikiwa ni muda mrefu ikizungumzwa Diamond na Alikiba wana bifu mpaka...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974