Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

RC PAUL MAKONDA AANDIKA UJUMBE HUU KWENYE UKURASA WAKE WA INSTAGRAM...

Ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kupitia kwenye ukurasa wake wa Instagram amelazimika kuandika kwenye ukurasa wake sentensi kadhaa ikiwemo na hii ya inayohusu maeneo yasiyo salama. Amesema "Unapofanya biashara katika maeneo machafu kama haya...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 14, 2016 KATIKA UDAKU NA HEALINEEWS...

Naedelea kukusogezea post za habari zilizoshika usuka wetu leo, endelea kuwa nami kila siku kwa habari muhimu na matangazo kutoka kwangu.

Read more

THIERRY HENRY KAAMUA KUACHA KAZI ARSENAL KISA KOCHA ARSENE WENGER...

Mshambuliaji huyu wa wa zamani wa timu ya Asenal ambaye amestaafu kazi soka na kuingia kwenye kazi ya ukocha katika klabu yake ya Zamani ya Arsenal, July 12, 2016 ameamua kutangaza maamuzi yake magumu kuhusu ajira yake ndani ya Arsenal. Henry ameamua...

Read more

AUDIO: KALIBU UISIKILIZE NGOMA MPYA YA SNURA BAADA YA KUFUNGIWA CHURA...

Zikiwa zimepita siku kadhaa toka Msanii huyu wa bongo fleva Snura afungiwe nyimbo yake ya Chura, sasa amekuja na kitu kipya ngoma mpya inayoitwa 'Shindu' anatualika kuisikiliza hapa. hii hapa

Read more

MTOTO WA MIAKA MINNE AUAWA NA KUTUPWA KISIMANI...

Mtoto wa kike Raihima Salim Ali (4) amekutwa amekufa huku mwili wake ukiwa umening'inizwa kisimani na vidole vya mikono vimekatwa na mashavu kuchubuliwa. Tukio hili limetokea jana asubuhi katika eneo la Njia panda Mbagala, Temeke baada ya mtoto kutoweka...

Read more

MTOTO WA OSAMA BIN LADEN AAPA KULIPZA KISASI...

Mtoto wa aliyekuwa kiongozi wa Al-Qaeda, Osama bin Laden, Hamza Bin Laden ameapa kwa Marekani kulipiza kisasi kwa kumuua baba yake. Amesema ataendeleza kundi hilo na kudai kwamba wako kwenye mpango wa kutekeleza shambulizi lingine linalofanana na lile...

Read more

KIONGOZI WA ISIS ADAI KUFADHILIWA NA UTAWALA WA OBAMA...

Kiongozi wa ISIS anayejulikana kwa jina la Yousef al-Salafi kutoka Pakistan amekubali kwamba kundi lao la ISIS linafadhiliwa na Marekani, kutoka utawala wa Obama. Habari hii imekuja kutokea Serikali ya Pqkistani mala baada ya kuhojiana na Yousef.

Read more

MAMA AKE RONALDO AANDIKA UJUMBE HUU BAADA YA KUMUONA MWANAE ANALIA...

Hii imetokea usiku wa July 10, 2016 katika Mchezo wa fainal ya Euro 2016 na kushuhuda timu ya Taifa ya Ureno ikitwaa ubigwa huo kwa kuifunga Timu ya Taifa ya Ufaransa goli 1 huku Ufaransa wakitoka bila kitu.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974