Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

VIDEO: HII HAPA SHOW YA RICH MAVOKO NA HARMONIZE, ZAKHEM MBAGALA....

Moja kati ya vitu mashabiki walikuwa wakivisubiri kwenye uwanja Zakhem Mbagala kuviona ni pamoja na show ya wakali wawili kutoka WCB, Rich Mavoko na Harmonize walipoitambulisha kwa Mara ya kwanza mdundo wao mpya wa ‘Show Me‘ kwa watu wao Mbagala Moja...

Read more

VIDEO: HIVI NDIVYO MANCHESTER UNITED WALIVYO WATULIZA CHERSEA, MAGOLI YOTE NIMEKUSOGEZEA HAPA...

April 16 2017 katika uwanja wa Old Trafford Man United walicheza dhidi ya Chelsea katika muendelezo wa michezo yao ya Ligi Kuu England, upinzani mkubwa wa mchezo huu ulikuwa ni uwepo pia wa Jose Mourinho ndani ya Man United akishindana na timu yake ya...

Read more

VIDEO MPYA: HARMONIZE NA RICHMAVOKO WANATUALIKA KUITAZAMA VIDEO YAO MPYA- "SHOW ME"....

April 16 2017 Harmonize na Rich Mavoko kutoka WCB wametuzogezea video ya wimbo wao mpya ‘Show Me’ usisahau pia kuniachia comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa WCB WASAFI For Bookings contact :harmonize@yahoo.com Follow me on: Twitter :...

Read more

HAYA NDIYO MAMUZI YA DAVIDO KUFANYA KOLABO NA JOH MAKINI....

Hivi karibuni Msanii Joh Makini kutoka kundi la Weusi, aliwaahidi mashabiki zake juu ya kufanya kolabo na msanii Davido wa Nigeria, sasa April 3 kupitia ukurasa wa Instagram wa Mwimbaji na staa kutokea Nigeria Davido amethibitisha kuwa tayari washaanza...

Read more

VIDEO: HIVI NDIVYO HARMORAPA ALIVYO ONYESHANA MAHABA LIVE NA AMBER LULU....

Naendelea kukusogezea zile habari kubwa kutoka katika Tasnia nzima ya Bongo fleva. Na hii kwa mala nyingine kutoka kwa Harmorapa akiwa na Amber lulu Maisha Basement. Usiku wakuamkia leo kwa fans wa Harmorapa na Amber Lulu ambao walikuwepo pale Maisha...

Read more

VIDEO: HARMORAPA AYAZUNGUMZA HAYA JUU YA MWANAMKE ANAYETAMANI KUWA NAYE KIMAPENZI..

Kama kawaida yangu mpenzi msomaji wa makala zangu kutoka kwenye Blog uipendayo ya STARZTZ, le nakusogezea hii video ya Msanii chipukizi Harmorapa akiyazungumza haya juu ya uwezo wake wa kumiliki Wema Sepetu. Ni March 28, 2017 ambapo msanii wa Bongo Fleva,...

Read more

VIDEO: HARMORAPA AYAZUNGUMZA HAYA BAADA YA KURUSHIWA CHUPA AKIWA STAGENI.....

Baada ya msanii Harmorapa kutupiwa chupa kwenye stage April 2 2017 na shabiki wakati akifanya show, leo April 3 2017 Ayo TV Entertaiment imemtafuta Harmorapa na Kupiga naye stori jinsi ilivyokuwa. ‘J ana kweli nilikuwa na show ambapo nilipigwa na chupa...

Read more

ARSENAL WAKUBALI KUTOKA SALE YA BAO 2-2 DHIDI YA MANCHESTER CITY, ANGALIA HAPA CHINI...

Jumapili ya April 2 2017 game za Ligi Kuu England zilichezwa kama kawaida ila game ya Arsenal dhidi ya Man City ndio ilikuwa game inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa EPL, Arsenal walikuwa wenyeji wa Man City katika uwanja wa Emirates. Arsenal wakiwa...

Read more

VIDEO: SIMBA YAKUBALI KIPIGO CHA GORI 2 KUTOKA KWA KAGERA SUGAR. ANGALIA MATOKEO HAPA

Kama kawaida yangu kukusogezea zile habri za Michezo kutoka katika viwanja mbalimbali vya mpira na hii ni baada ya watani zao wa jadi Yanga kucheza jana April 1 2017 katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam FC,...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI EO APRIL 3, 2017 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS....

Ni kawaida yangu ndugu yangu kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika Magazeti ya Tanzania leo. Usisite kuungana na mimi kila dakika na kujua ni nini kinaendelea katika Ulimwengu.

Read more
1 2 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974