Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MREMBO APEWA PESA AZIWEKA KWENYE MATITI, ZAGEUKA KUWA NYOKA...

Katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya huyu binti aliyeshadadia lifti na kukutwa na haya makuu, kwa mujibu wa Taarifa nilizonazo ni kwamba alipewa pesa na akaziweka kwenye Matiti, mala akashangaa kitu kinamtembelea kumbe zimegeuka kuwa Nyoka,...

Read more

BONGO YAANDIKA HISTORIA, JUU YA SERIKALI KUAMIA DODOMA...

Ikiwa ni wiki kadhaa zimepita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli atoe kauli ya kuamishia Serikali yake yote kutoka Jijini Dar es salaam na kuamia Mjini Dodoma, sasa Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa yeye baada ya tamko...

Read more

MASANJA MKANDAMIZAJI NA MPOKI WAINGIA BIFU ZITO...

Waigizaji wa Orijino Coedy, Masanja Mkandamizaji na mwenzio anayejulikana kama Mpoki wamejikuta kwenye bifu zito ikiwa ni siku chache baada ya ndoa ya Masanja. Kisa cha bifu hilo hakijajulikana.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 31, 2016 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kuzulula huku na kule nikitafuta kila linalojili na kuhakikisha linakufikia ulipo ndugu msomaji.

Read more

MAPYA YAZUKA, DIAMOND PLATNUMZ AANGUKA GAFLA...

Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz, mmiliki wa Studio ya WCB inasemekana ameangula gafla na hii ikidaiwa kuwa ofisi yake yafungwa na Man Fongo akitajwa kuhusika.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 30, 2016 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari kuu zilizojili katika Ulimwengu kupitia Magazeti yetu U Tanzania.

Read more

VIDEO: MAGOLI YA MECHI YA YANGA VS AFRICAN LYON, FULL TIME 3-0...

August 28, 2016 katika Ligi kuu soka Tanzania bara iliendelea jana ikiwa ni kawaida ya bingwa mtetezi wa michuano hiyo, klabu ya Dar es salaam Young Africans kucheza mchezo wake wa ufunguz dhidi ya Africa Lyon mchezo ambao uliifanya klabu ya Yaoung Africans...

Read more

GAIDI MTOTO AUAWA MKURANGA, YASIMULIWA MAZITO...

Inasemekana lakini!! ni kwamba kama ni hivi basi Serikali iendelee kuwapunguza waarifu, Huko Mkuranga ameuawa Gaidi mtoto, kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa RPC zinasema gaidi huyo amejifunzia Ugaidi huko Sudan kwa miaka 2, huku mama ake akiishia kusimulia...

Read more

WEMA AYAANIKA NJE MAZIITO HAYA, HAKUNA SIRI TENA...

Ni staa wa Bongo movie, Wema Sepetu akionekana kwenye habari headlines zetu katika matukio tofauti tofati, inasemekana Staa huyo anatoka na Mkongo STARZTZ ikinasa picha zao za kimahaba.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 29, 2016 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea habari zile muhimu kutoka takika pande zote za Dunia, kupitia Magazeti yetu ya Tanzania.

Read more
1 2 3 4 5 6 7 8 9 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974