Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

JOSEA MOURINHO AANZA VITUKO, AZINGUA KWENYE NDEGE...

Kocha mpya wa Manchester United Josea Mourinho ameoneka kuwa kwenye headlines zetu leo baada ya kuonekana kwa habari iliyoandikwa kwenye Gazeti la CHAMPIONI, pata nakala yako sasa.

Read more

"MIMBA NUSURA IMUUE WAASTARA" YADAIWA KUCHOROPOKA...

Staa wa Bongo movie Wastara inasemekana imedaiwa nusura mimba imuue pia yadaiwa kuchoropoka katika Mazingira ya ajabu. Mwenyewe abanwa aeleza wakati mgumu anaopitia.Soma habari kamili kutoka katika Gazeti la IJUMAA.

Read more

AMBER LULU KAMA ANA NGOMA WATAKUFA WENGI...

Hii ni baada ya kuanika mastaa wa Bongo waliompitia , hii ni habari inayopatikana ukurasa wa 4 katika Gazeti la IJUMAA, jipatie nakala yako sasa uweze kujua nini kinaendelea.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 22, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINEWS...

Naendelea kukusogezea habari kuu zinazojili katika Magazeti yetu leo, usikose kuendelea kuwa nami kila siku kuyajua mengi...

Read more

ALIKIBA NA BARAKA DA PRINCE WAVAMIWA NA MAJAMBAZI SOUTH AFRICA...

Hii ni taarifa kuhusu waimbaji wa Bongofleva Alikiba na Baraka Da Prince ambao wote wako chini ya Lebo ya Rockstar 4000, kuvamiwa na majambazi wenye siraha kali Afrika Kusini saa tatu usiku kwa saa za Afrika Mashariki July 20, 2016.

Read more

JIONEE AINA MBALIMBALI YA BOTI ZINAZOTUMIA SOLAR...

Mtu wangu mi nikawaida yangu kukusogezea vile kitu unapenda, leo nimekuja na hii inayohusiana na kukua kwa Teknologia. Hizi ni Boti zinazotumia Mionzi ya jua zinazotumika Marekani, Ufaransa, Australia, Ujerumani, India na Uswiss.

Read more

STAA WEMA SEPETU AACHIA UJUMBE HUU MZITO BAADA YA KUMWAGANA NA IDRIS...

Naomba niseme kitu na nieleweke tafadhari, Sijawahi hata siku moja kwenda kwa hata mmoja wenu na kuomba hata hela ya Chumvi..... My life concerns me.... Na hata siku nikifa nakufa mwenyewe, Majibu kwa Mungu naenda kujibu alone... Niache jamani...nimechoka...

Read more

STAA IDRIS SURTANI ARUDISHA MAKAO YAKE KWA GIGY MONEY...

Nahisi mtu wangu wa nguvu ulijua kilichoendelea kwa Wema Sepetu na Idris, ikiwa ni tetesi kwamba Walitemana je ni kweli? endelea kuwa tyuni hapa na usikose kuendelea kuwa nami kuupata ukweli.

Read more

REBECA GYUMI AJIPANGA KUFANYA HILI BAADA YA KUSHHINDA KESI YA NDOA ZA UTOTONI...

Mwanzoni mwa mwaka 2016 Mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali, Msichana Initiative linalotetea haki za wasichana kupata elimu Rebeca Byumi alifungua shauri Mahakamani kupinga kifungu cha 13 na 17 cha Sheria ya Ndoa kinachoruhusu mtotot wa kike kuolewa...

Read more

UDONGO WA KABULI LA KANUMBA WAUZWA MAMILIONI...

Ni habari iliyoshika headline zetu leo, ikiwa ni habari inayoonekana katika Gazeti la AMANI, jipatie gazeti lao sasa na usome habari nzima.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974