Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
07 Jun

29 JUNE, 2020 SHULE KUFUNGULIWA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr John Pombe Magufuli, leo katika kufunga Bunge la awamu ya 5 likiwa ni Bunge la kumi na moja (11), ameeleza kuwa mnamo Juni 29, 2020 Shule zote kufunguliwa. Aidha baada ya kusema hayo ameongeza akisema sasa na Ndoa  ziendelee kama kawaida

29 JUNE, 2020 SHULE KUFUNGULIWA

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974