Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
03 Dec

CHINA LEO WAMEKUJA NA MPYA WAANZA KUJENGA MERI INAYOFANANA KABISA NA TITANIKI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Mtu wangu wa nguvu kama unaikumbuka kabisa ile Meli ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast, iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500 ilikuwa katika safari yake kutoka Southampton ikielekea New York. Sasa China wameanza ujenzi wa Meli nyingine iliyofanana kabisa na ile.

STARZTZ

CHINA LEO WAMEKUJA NA MPYA WAANZA KUJENGA MERI INAYOFANANA KABISA NA TITANIKI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974