Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

habari

29 JUNE, 2020 SHULE KUFUNGULIWA

Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr John Pombe Magufuli, leo katika kufunga Bunge la awamu ya 5 likiwa ni Bunge la kumi na moja (11), ameeleza kuwa mnamo Juni 29, 2020 Shule zote kufunguliwa. Aidha baada ya kusema hayo ameongeza akisema sasa...

Read more

HIZI NDIZO SHERIA 6 ZA CHINA AMBAZO KUNA UWEZEKANO KWAMBA ZILIKILETWA TANZANIA WATU WANAWEZA KUAMA NCHI...

Tanzania ni moja kati ya nchi zenye amani na uhuru mkubwa kwa kuruhusu raia wake kufanya vitu vingi lakini leo March 31 2017 naomba nikusogezee sheria sita za nchi ya Korea Kaskazini ambapo kama zikiletwa Tanzania itakuwa ngumu watu kuzitekeleza kutokana...

Read more

KESI YA YUFUF MANJI YATARAJIWA KUSIKILIZWA LEO ALHAMISI 16, 2017....

Kesi inayomhusu Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji ya juu ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya Heroine, inatarajiwa kusikilizwa tena kesho Alhamisi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kuahirishwa kwa mara ya mwisho Februari 16, mwaka huu.

Read more

VIDEO: HIVI NDIVYO TRENI YA KIFAHARI ILIVYOONDOKA DSM NA KUELEKEA AFRIKA KUSINI...

Ilikuwa ni March 11, 2017 ilipowasili Nchini Treni ya kifahari ya kitalii ya Rovos Rail Treni, ikiwa na jumla ya watalii 71. Leo March 14, Treni hiyo imerudi Afrika Kusini ikiwa na Watalii hao hao 71. Ebu tuitazame hhapa chini nimekusogezea karibu mtu...

Read more

CHINA LEO WAMEKUJA NA MPYA WAANZA KUJENGA MERI INAYOFANANA KABISA NA TITANIKI...

Mtu wangu wa nguvu kama unaikumbuka kabisa ile Meli ya Titanic iliyojengwa na Harland na Wolff huko Belfast, iligonga mwamba wa barafu na kuzama Kaskazini mwa Atlantic mwaka 1912 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,500 ilikuwa katika safari yake kutoka...

Read more

SHUHUDIA HAPA NYUMBA ZA KISASA ZILIZOJENGWA JUU YA MITI, ZENYE MWONEKANO SAFI....

Mtu wangu wa nguvu naendelea kudumisha ubora wa Studio ya STARZTZ, na leo ninazo headlines kutoka CNN kuhusu kujengwa kwa nyumba za kisasa juu ya miti kwajili ya utalii, na kampuni ya Blue Forest ndiyo imetajwa kuwa namba moja kwa kujenga nyumba za aina...

Read more

MKUU WA WILAYA MDOGO KULIKO WOTE AANIKA SIFA ZA MUME ANAYEMTAKA....

Mtu wangu wa nguvu kama ilikupita hii basi naikusogezea kalbu mtu wangu uweze kuujua ukweli alousema Mheshimiwa huyu ambaye anasadikika kuwa Ndiye Mkuu wa Wilaya mwenye umri mdogo kuliko wote. Amesema kwamba yeye anamtaka Mume yule ambaye ni Mdogo kuliko...

Read more

VIDEO: HUU NDIO UFAFANUZI UNAOHUSU SUALA ZIMA LA PESA KUKAUKA MIFUKONI...

Kumekuwepo na malalamiko ya watu wengi kusema kuwa fedha imekauka mfukoni hasa kipindi hiki, Leo November 30 2016 Msajili wa hazina, Lawrance Mafuru amezungumza na wandishi wa habari moja wa ishu aliyoitolea ufafanuzi ni kuhusu malalamiko ya wengi kuwa...

Read more

HUU NDIO UNDANI WA TIMBWILI TIMBWILI LA MZEE WA UPAKO, WALINZI MH!!...

Ndugu msomaji wa makala zangu naendelea kukusogezeazila habari muhimu, kutoka katika pande zote za Dunia, na hii leo nina habari zinazomhusu Mzee wa Upako. Leo hii habari inasema 'Timbwili la Mzee wa Upako lachukua masaa mawili, huku Mzee wa Upako akitishia...

Read more

"RC PAUL MAKONDA AKALIA KUTI KAVU" MALALAMIKO YAJAA TELE KWA SABABU MBALI MBALI...

Mtu wangu leo November 25, 2016 katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Poul Makonda kuonekana yupo katika wakati mgumu kwa kile kilichosemekana kuwa ni kutokana na kauli, na uamuzi wake mikutanoni. Wananchi walalamika...

Read more
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974