Habari za muda huu mpenz msomaji wa makala zangu!! Natunaini hujambo kabisa. Leo nakukaribisha tuweze kujifunza kwa pamoja au kuyajua machache niliyokwandalia siku ya leo. SOMO: "Sioni sababu ya wewe kumweleza kila mtu shida zako, unajua ni kwanini? kwasababu...
Habari za asubuhi ndugu msomaji wa makala zangu. Nina hakika uko salama na mwenye afya njema. Leo napenda nikushirikishe jambo moja muhimu na ambalo ni hili hapa. Ukiwa mwenye kutaka kujifunza ni vyema ujifunze kitu kimoja na ambacho ni "KUSIKILIZA" Kusikiliza...
Unapokuwa na maamuzi sahihi, unafanikiwa haraka. Unajua kwanini? na jibu la hapa ni kwamba utafanikiwa haraka kwasababu utakuwa umepunguza msongamano wa mambo uliyokuwa ukifanya. Jitahidi unapofanya maamuzi zingatia haya mambo matatu: i. Uchaguzi wa Jambo...
Ndugu yangu kila mtu huwa kuna kitu ambacho kinamfanya awe mwenye furaha, namshukuru Mungu kwamba na mimi nyimbo kama hizi zinanipaga wakati mzuri sana. Sikiliza nyimbo hii ya Abeddy Ngosso anakwambia "Kimbilio langu"
Abeddy Ngosso New Video 2016 - Kimbilio...
Habari za asubuh ndugu msomaji wa makala zangu! Najua leo unafikilia ni nini kizuri nakileta kwako. Ni kweli leo nimekulete funzo jingine ambalo nina hakika lina umuhimu kwako. Leo napenda kukufundisha kuhusu, "Kuwa wa kipekee" Nini maana ya kuwa wa kipekee?...
Napenda kuchukua nafasi hii na kuwashukuru, Wanafunzi wote wa Shule ya Jangwani Sec School kwa ushirikiano mliotuonyesha, na kwa namna ya pekee nimshukuru mwalimu mkuu wa Shule hiyo kwa makaribisho yake na ushilikiano wake. Namshukuru Mungu pia kwa kipawa...
Je! unaijua njia pekee ya kushinda? Jibu hili hapa, Ukitaka kushinda fanya usivyovijua, Hapa ninamaanisha kwamba kuliko kutumia muda wako mwingi ukichanganua ulivyonavyo pekee, tumia muda mwingi tutafuta mambo mapya ikiwa ni pamoja na kuongeza ujuzi akilini...
Habari za asubuh ndugu yangu msomaji wa makala zangu, Ni hasubuhi njema kabisa leo na jambo la kumshukuru Mungu kwamba tuko salama. Katika Makala yangu fupi ya leo asubuhi naomba nikufundishe jambo moja: KUJIAMINI Je unajua ni nini maana ya Kujiamini?...