Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aliyegundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana Bangi ndizo zilizosababisha yeye ashuke kimziki.
Mbunge wa viti maalum (CCM), Munira Mustafa Khatibu, ametaka Serikali kukifutia usajili chama cha Wananchi CUF kwa madai kuwa kimekuwa kikishiriki katika matukio ya kupigwa na kuharibu mali za Wananchi visiwani Pemba.
Huyu ni mwanadada aliyefanya vizuri kama Video Qeen wa wimbo wa msanii Nuh Mziwanda, Jike Shupa aitwaye Zena Abdallah akizungumza katika mahojiano rasmi msichana huyo alisema hapendi na anakasirishwa na watu wanaomfananisha na staa huyo (Shilole) wa muziki,...
Ni katka kipindi cha Take One cha Clouds kinachoendeshwa na Zamaradi Mketema akiwa anamhoji shoga maarufu jijini Dar es salaam.zamaradi alijitetea akidai nia yake haikuwa mbaya kwani alijua ni tatizo lililokuwa linasumbua kwa muda mrefu Nchini, kwahiyo...
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu amewekwa rumande kwa kukosa dhamana, mara baada ya mahojiano na Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kufuatia kauili yake aliyoitoa jana inayowaelezwa kuwa si ya kingwana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa katika utawala wake hatateuwa Mbunge kuwa mku wa Mkoa au Wilaya. Amesema lengo ni kuboresha utendaji kazi na uwajibikaji kwamba "haiwezekani katika watanzania Mil. 50 tukose watu adi...
Gift Stanford 'Gigy Money' amethibitisha kuwa yupo mbioni kumpiga kiki bwana ake mwarabu endapo ataendelea kuwa baili, kwani yeye hakuna mapenzi anachojali ni Pesa, akiendelea kuchonga na risasi Mchanganyiko amesema katika maisha yake hataki mwanaume...
Jeshi la Polisi Manispaa ya Temeke linawashikilia waendesha bodaboda 35 kwa makosa mbalimbali kama kuendesha Pikipiki zao bila kuwa na Kofia ngumu (Helmet).
Nisha ametoa sadaka kwa kufuturisha watoto wasiojiweza katika viwanja vya shule ya Sekondari Azania Upanga jumapili hii, Futari iliyohudhuriwa na wasanii wenzake na watu kutoka sehemu mbalimbali.