Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

LISU, ZITTO, MDEE NA BULAYA WATIMULIWA BUNGENI...

Wabunge wa Upinzani, Tundu Lissu na Esther Bulaya wamesimamishwa kutokuudhuria vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutokana na kung'ang'ania kurushwa kwa matangazo ya moja kwa moja ya Bunge.

Read more

NEY WA MITEGO AACHWA BAADA YA KUCHEPUKA ...

Mrembo Lulu Diva amgeukia Bellle 9 baada ya Ney kuchepuka. Sio siri tena sasa ikisemekana kuwa Msanii wa bongofleva amechepuka kwa Msichana wa Kihabeshi mwenye asili ya Ethiopia.Lulu diva naye ameamua kugeukia kwa Belle 9.

Read more

VIJANA WOTE NCHINI WATAKIWA KUWA HURU KATIKA KUTOA MAONI YAO...

Maneno hayo yamesemwa na Rais mstaafu Dk Jakaya Mlisho Kikwete kwamba Vijana wote Nchini wanatakiwa kuwa huru kutoa maoni yao lakini pia kuwa tayari kukosolewa wanapokosea.

Read more

WANAFUNZI 7802 KUFUKUZWA CHUO KIKUU DODOMA (UDOM)...

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi ilitangaa kuwafukuza wafanzi 7802 kutoka katika chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kufuatia Mgomo wa walimu unaoendelea hivi sasa. Waziri Joyce Ndalichako amesimama Bungeni leo kuongelea suala...

Read more

VIDEO: BUNGENI KWA PAMBA MOTO BAADA YA WABUNGE KUFUKUZWA BUNGENI DHIDI YA KUFUKUZWA KWA WANAFUNZI UDOM... WANAFUNZI

Hii hapa video iangalie alafu uache Comment juu ya hili swala la Wanachuo wa UDOM kufukuzwa..

Read more

Raymond - Natafuta Kiki | Lyrics/Mashairi

Raymond [Verse 1] Nataka nitoke kwenye gazeti Niuze sura! Niseme ninatoka na Jokate... Kitandani kwisha na Feza Kessy Ama Snura Nilete matata mpaka kwa Grace Kwenye redio zote, mpaka runinga Nitangaze kwa kuvimba Kwamba Lulu anayangu mimba Au niwatukane...

Read more

RAIS WA UTURUKI AWATAKA WAISILAMU KUTOPANGA UZAZI.

Rais Recep Tayip Erdogan Rais wa Uturuki Reccep Tayyip Erdogan amewataka Waislamu kukataa kutumia vifaa vya upangaji uzazi kwa lengo la kupata watoto wengi. Katika taarifa iliorushwa hewani kupitia runinga za taifa hilo,bw Erdogan amesema kuwa hakuna...

Read more

HABRE AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA JELA.

Habre alipatikana na makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa wa ngono. Aliyekuwa rais wa Chad Hissene Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika kwenye uhalifu dhidi ya ubinadamu , ubakaji na utumwa...

Read more

UGANDA KUKATA UHUSIANO NA KOREA KASKAZINI.

Museveni Na Rais kim Jong Un wa Korea kaskazini Rais wa Korea Kusini amesema nchi ya Uganda imeahidi kusitisha uhusiano wake wa kijeshi na marafiki wake wa jadi Korea Kaskazini baada ya kuzuru mji mkuu wa Kampala siku ya Jumapili, chombo cha habari cha...

Read more
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974