Timu ya Man United leo December 4 2016 imecheza mchezo wake wa 14 wa Ligi Kuu England dhidi ya Everton katika uwanja wa Goodson Park, Man United wamecheza mchezo huo na kujikuta wakiambulia sare ya 1-1. Man United walionesha matumaini ya kuwa wataondoka...
Ismail Khalfan mchezaji wa Mbao FC chini ya umri wa miaka 20, amepoteza maisha katika michuano ya timu za vijana wa umri chini ya 20 katika mchezo wa mwisho wa round ya 7 Kundi A kituo cha Kaitaba Bukoba, Ismail Khalfan alikuwa anavaa jezi namba 4 katika...
Ni mastaa hawa kutoka tasnia ya bongo fleva na bongo movie Wema Sepetu wa Irene Uwoya. Leo katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya Irene Uwoya alivyo mfungukia Wema na kusema hampendi kabisa, huku kisa kikiwa bado hakijulikani ni nini.
Mtu wangu wa nguvu huyu ni staa kutoka katika tasnia ya bongo fleva Shilole, huku akiwa anadunda na wanaume mitaani sasa watu waanza kumuita mama zoazoa, sababu kubwa ikisemekana kwamba ni kubadilisha wanaume kila wakati.
Mtu wangu kama na wewe uko dar basi hii inakuhusu. Katika habari nilizonazo leo hapa Studioni ni pamoja na hii habari inayosema Wanaume wa Dar sasa ni Too much , yadaiwa wengi ni wanaume Suruali, waambiwa waache mipasho umbea na ulegelege huku wakiwa...
Mtu wangu kama ilivyo ada mimi kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia. Usisite kuwa nami kila siku kwaajili ya ujua ni nini kinachoendelea Ulimwenguni.