Fainali ya Miss Tanzania 2016 imefanyika Mwanza Tanzania October 29 2016 ambapo mshindi ametangazwa kuwa ni Diana Lukumai ambapo saa chache baada ya kutangazwa kwake baadhi ya watu wameonyesha kutoridhishwa na ushindi wake. Miss Tanzania namba tatu kwenye...
Ni habari niliyokutana nayo leo wakati pitapita zangu, Leo staa huyu wa Bongo movie kaja na hii pya akisema anabadilisha bwana hapendi ujinga!!! Kwahiyo ndo Tuseme Harmonize kapigwa chini au veepe??!
Ni moja kati ya habari nilizonazo hapa Studio zikiwa zinasema Wema Sepetu akamatwa na Unga, Madai yanasema ni Alhamisi iliyopita akiwa katika safari yake ya China ndiko kitimtim kilikoendelea.
Mtu wangu wangu wa nguvu studio zetu za STARZTZ zinapenda kukukalibisha kila siku hapa kwenye Blog yetu kwaajili ya kusoma na kupata habari zote zitokeazo kila siku.
Nikiendelea kukujuza kila kinachoendelea mtu wangu na hii leo inamhusu Wastara, kwa habari nilizonazo hapa leo mtu wangu Wastara ameyasema mazito hadharani akisababisha watu kumshangaa na kubaki wakijiuliza maswali mengi juu ya kitendo hiki, Wastara aishia...
Ni katika tembea tembea zangu leo nikikutana na hizi habari zinazosema na kuwaonyesha Masogange na Dogo Janja wakiwa katika sile sehemu mulua nooooma sana mtu wangu.
Katika habari zilizoingia kwenya headlines zetu leo ni pamoja na hii ya msimu huu wa Fiesta ikiwa ni zamu ya Dar es Salaam Clouds yafanya kufuru ya kumleta Jay Z Bongo kwa Bilioni 5. Sasa kama hujasikia ya Diamond kupigwa chini ndo hii sasa, yasababisha...
Katika habari nilizonazo leo nipamoja na hii habari kutoka kwa Amber Lulu zinazosema. Mrembo huyu leo amewakata midomo wale wote wanaomshuku wakisema yeye ana maisha magumu sasa leo kaja anasema yeye hana maisha magumu bali anapiga pesa ndefu.
Mtu wangu ni kawaida yangu kukusogezea vile vitu muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, Na leo nimekuletea Matokeo yato ya VPL katika Mechi zilizochezwa jana ikiwemo na Simba SC ilivyoilaza Mwadui FC kwa bao 3-0, Simba inapiga tu!!!
Endelea kuwa nami mtu wangu kwaajili ya kuzipata habari bora kabisa kutoka kwangu mwandishi wako Elipidius G Mtagurwa. Unaweza kunipata faceboock kwa kuandika Jina Chuyan'g Custarah, na hapo utaweza kunipata kwa urahisi.