Mwimbaji Staa wa Dunia Rihanna 'RiRi' amerudi kwenye Macho ya Dunia baada ya kudhibitisha kwamba single yake Mpya ijayo inaitwa 'Kiss It Better' na ameachia kipisi cha video hiki hapa..
Faraja Nyalandu kawawezesha kujisomea hata kwa sms,Faraja ni Mrembo wa Kitanzania ambaye uzito wa jina lake uliongezeka baada ya kushiriki kwenye shindano la Miss Tanzania 2014, ambapo kipindi cha karibuni uzito wa jina lake uliongezeka baada ya kuanzisha...
Mwimbaji Recho katika Amplifaya amesema "Ni kweli nimemrudia Mungu, ni maamuzi ambayo nimeyafanya mwenyewe baada ya kuona vitu ni vilevile, Dunia ni ileile na watu ni walewale ndomaana nikaona sio vibaya nikaja na upande mwingine, lakini hii haimaanishi...
Kutoka katika Mahakama ya Mkazi Kisutu Dar es salaam ni kwamba Wabunge watatu wamefikishwa Mahakamani hapo mchana wa March 31 2016 ambao ni Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugola wa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero. Wamekamatwa kwa Tuhuma za Kujihusisha...
Leo katika Magazeti nikiwa nimewaletea habari mbalimbali ikiwemo habari inayosema "JPM azitikisa taasisi 200 zenye sh. 22 trioni" inayotoka katika Gazeti la MWANANCHI.Alikadharika katika Gazeti la TAIFA LEO limeandika"Aibu Magavana watalii". ..
MAGAZ...
Ben Innes (kulia) akipozi katika selfie na mtekaji wa Ndege ya Misri, Seif A-Din Mustafa.Picha za Ben Innes zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii, asema alipiga selfie na mtekaji ili auone vizuri mkanda uliodhaniwa kuwa wa Mabomu pamoja nakuonyesha tabasamu...
Wadau wa Buludani katika jiji la Mkoa Mbeya Jumapili ya Pasaka waliweza kupata burudani ya kipekee kutoka kwa Emmanuel Simwinga maarufu 'Izzo Bizness' ambaye aliwakamata wadau hao kwa vibao vyake mbalimbali wakati wa tamasha la Pasaka jijini hapo.
MICHEZO...
Bila kukosea utakuwa na shauku ya kujua ya kujua maisha wanayoishi wanasoka wa Ubelgiji hususani katika kipindi hiki anachocheza Mtanzania Mbwana Samatta Nchini humo.Kiukweli mshahala wa Mbwana Samatta haujawekwa wazi katika vyombo vya habari mpaka sasa,...
Diamond Platnumz akiwa katika Exclusive interview na Millard Ayo alidhibitisha kuwa mwaka 2016 atanunua Gari la kifahari aina ya Rolls Royce. Kwa kawaida Gari aina ya Rolls Royce hufikia thamani ya milioni 500 za kitanzania.
VIJIMAMBO
Kamati ya Bunge ya miundombinu imeeleza kuridhishwa na utekelezwaji wa mradi wa ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es salaam ambalo limekamilika kwa asilimia 100 na linatalajiwa kuzinduliwa Aprili 15 na kuanza kutumika Aprili 16 mwaka hu.
HABAR...