MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 30, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...
/image%2F1983706%2F20160730%2Fob_fa15c1_img-20160730-052157.jpg)
Usichoke kuendelea kuwa nami kila siku ninapoendelea kukusogezea habari kubwa zinazojili katika ulimwengu wetu...
Read moreKwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974
Usichoke kuendelea kuwa nami kila siku ninapoendelea kukusogezea habari kubwa zinazojili katika ulimwengu wetu...
Read moreHadhi ya Mchezo wa soka imekuwa kubwa, katika kipindi cha miaka kumi iliyopita wanasoka wanalipwa mamilioni ya dola kwa kucheza kwa dakika 90 tu. Lakini bado kuna mambo wengi yanatokea kila siku na hii ni kutokana na ukweli kwamba yanatokea kwasababu...
Read moreHii ni katika ile vita nzito ya mapenzi ... Gigy money afunguka haya mazito "Wema kachemka nazaa na Idris." Timu wema sepetu yaja juu, inouma sana. Je una maoni gani mtu wangu juu ya hii habari? zama katika Gazeti la IJUMAA uhabarike zaidi kuhusu hii...
Read moreNaendelea kukusogezea habari kuu zinazoendelea kujili katika ulimwengu. Usichoke mtu angu me siachi kukusogezea hzo habari muhimu.
Read moreMkali wa Bongo fleva Mo Music ameachia Single yake Mpya iitwayo "Ado ado" iliyotayarishwa na D-Classic katika Studio za High Table Sound inayomilikiwa na Barnaba.
Read moreRais wa Jamhuli ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa bodi ya mfuko wa Barabara (Road Fund Board) Dkt. James Munanka Wanyancha.Rais ametengua uteuzi huo leo July 28, 2016 na kufanya uteuzi wa mpya kumteua Odo...
Read moreKiongozi wa kanisa la Kikatoliki Duniani Papa Francis ameanguka gafla wakati akiwa anaongoza misa Poland baada ya kujisikia vibaya, inadaiwa Papa anasumbuliwa na tatiz na maumivu ya Miguu na Mgongo.
Read moreStaa wa bongo movie a. k. a baby Harmo, ametokeza tena kwenye zile zetu kuu za leo baada ya hiki kilichoandikwa na Gazeti la MIKASI, "...Amechagua wa kuishi nao amepoteza wa kufa nae" jipatie nakala yako sasa.
Read moreDah!! 'wanawake sumu kabisa' ni kati ya kauli zinazotolewa na asilimia kubwa ya wanaume wanaotendwa kama huyu, asimulia mkasa mzito akidai 'Nilimlisha mume wa mtu limbwata la nyama ya Bundi.'Inauma aiseee!!!!
Read moreKati ya habari zilizoskika headlines zetu le ni pamoja na hii ya Staa wa Bongo Movie Wema Sepetu kuanguka gafla.Avimba mwili mzima, alala siku tatu bila kuamka kitandani na ndio kisa cha kukosa Sherehe ya CCM, amtimua mama ake Wodini Apelekwa Afrika Kusini,...
Read moreKwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974
June 7 2020
June 7 2020
June 18 2018