Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

GUMZO!! MTANGAZAJI JERY MURO ATEULIWA KUWA MSEMAJI WA IKURU...

Mkuu wa kitengo cha habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga, Jerry Muro ameteuliwa na Rais John Pombe Magufuli kuwa msemaji Msaidizi wa Ikulu.

Read more

"TIBU VIDONDA VYA TUMBO SASA"WASILIANA NASI KWA 0714260485,0759110974...

Je umesumbuka na vidonda vya tumbo kwa mda mrefu?? ondoa shaka kwani tiba yake hii hapa wasiliana nasi kwa Namba 0714260485 au 0759110974. KALIBU

Read more

BILL NASS AFUNGUKA MAZITO HAYA JUU YA SHILOLE...

Rapper huyu ambaye anatamba na ngoma yake ya Chafu Pozi amekanusha tetesi za kuwa anatoka kimalooove na Staa wa Bongo fleva Shilole.

Read more

SHAA "SIJUTII KUONDOKA MKUBWA NA WANAWE"....

Mwimbaji Sarah Kaisi a.k.a Shaa ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake mpya ya 'Sawa' amesema yeye kuweza kuondoka chini ya uongozi wa Mkubwa na wanawe pamoja na Master Jay si suala la kupewa pole bali kupngezwa.

Read more

BASATA KUUFUNGIA WIMBO WA NEY WA MITEGO 'PALE KATI'...

July 16, 2016 ambapo Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limetoa rasmi tamko la kuufungia wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Ney wa Mitego uitwao 'Pale Kati' Akizungumza katibu mkuu wa Basata Godfrey Mgereza alisema "Ni kweli tumeufungia wimbo wa Msanii Ney...

Read more

BODI YA MIKOPO YAPEWA SAA 72 NA WANAFUNZI WA ELIMU YA JUU...

Kamati ya Serikali za wanafunzi wa Elimu ya juu Nchini Tanzania inayoundwa na Mawaziri, Manaibu waziri na makatibu wa wizara ya mikopo kutoka vyuo vyote nchini leo July 16, 2016 wamekutana na waandishi wa habari jiini Dar es salaam na kuongea haya, Kwa...

Read more

YANGA YAKUBALI SARE DHIDI YA MEDEAMA KATIKA MCHEZO WAO LEO...

Ni July 16, 2016 ambapo wawakilishi kutoka Tanzania katika mashindano ya klabu ya Dar es salaam Young Africans kucheza mchezo wao wa tatu wa kundi A wa Kombe la shirikisho barani Afrika dhidi ya klabu ya Medeama SC ya Ghana. Mchezo huu uliisha timu ya...

Read more

KIBA AKATAA SALUTI YA DIAMOND, TIMU DIAMOND WAMSHANGAA...

Pata habari hii kamili katika Gazeti lako la Risasi, usisite kuendelea kuwa nami kila siku, kila dakika na kila saa kwaajili ya kukujuza habari mbalimbali kutoka katika pande zote za Dunia kuhusu wa sanii.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974