Mtu wangu je we ni mmoja kati ya walio kosa kumuona Miss Tabata 2016? haya ata usiwaze kwa kukosa mda huo kwani huyu hapa nimeshakusogezea kalibu, angalia picha alafu tupia comment yako ili aone maoni yako kwake.
Ni July 23, 2016 katika Ukumbi mkuu wa CCM wa Mjini Dodoma alipochaguliwa M/kiti mpya wa Chama cha Mapinduzi baada ya aliyekuwepo Mhe Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete.Kwa mujibu wa kura zilizopigwa ni 2398, Zilizohalibika ni 0, kura halali 2398, kura...
Naendelea kukusogezea habari zilizojili katika Dunia Yetu leo, lakini pia usikose kunifollow facebook kwa kuandika Chuyan'g custarah lakini pia Instagram kwa kuandika Chuyancustarah ili uweze kupata habari kwa urahisi zinazojili katika Ulimwengu
Machangu wakiwa katika maeneo yao ya kazi "Mtaani" wamemteka mwandishi na mwandishi kuokolewa na Polisi usiku wa manane,ikiwa inasemekan kwamba alikuwa kwenye oparesheni maalumu, imesemwa kwamba amelazimishwa kufanya vitendo vichafu. Machangu nao waja...
Kaitka habari zilizoshika headlines zetu leo ni pamoja na hii ya yule aliyekuwa Mpenzi wake Wema Sepetu, Idris yupo kwenye penzi zito na Mrembo Gigy Money jua mengi kuhusu nini kimeendelea kwa kujipatia nakala ya Gazeti la RISASI leo
Kama tunavojua mtu wangu siku chache zilizopita tumepata habari zilizosema kuwepo kwa bifu kali kati ya Staa wa bongo movie Elizabeth Michael 'Lulu' na Hamisa Mobeto, sasa Skendo hiyo Lulu kaipangulia mbali . soma habari hii kwa kujipatia Gazeti lako...
Mrembo huyu ambaye haishiwagi vituko leo kaja na hii stori ya kuchekesha kweli baada ya kuelezea yaliyomkuta siku anatolewa Bikira akizungumza na kituo chetu cha matangazo Huddah amesema haya kutoka katika Gazeti letu la SANI..
Mama Tiffah a.k.a Zari Baby wake Diamond Plutnumz, katika habari zetu leo zimezuka mpya ambapo katika Gazeti la SANI limekuja na hizi leo 'Mazito yafichuka Zari abainika kuwa mama wa Diamond' jipatie nakala yako sasa na ujue kilichojili..
Eric Aniva alimaarufu kama 'Fisi' anayesemekana kuwabikiri watoto 10 Malawi. Katika hali ya kawaida kwa tamaduni nyingi kote Duniani mwanamke anapoolewa huwa ni fahari sana endapo akiwa na bikira mathalan ni dhihirisho kwamba mwanamke huyo amelelewa na...