Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

VIDEO:REAL MADRID WAENDELEA KUTUNZA REKODI YAO KWA VIRABU VYA UINGEREZA KWA ...

Nusu fainali ya ligi ya Mabingwa Ulaya imechezwa usiku wa May 4, 2016 baada ya klabu ya Real Madrid kufanikiwa kuingia fainali baada ya kuifunga timu ya Manchester City Bao 1-0 Mchezo uliochezwa katika uwanja wa Santiago Bernabeu.

Read more

SNURA AKANUSHA KUFUNGIWA YEYE NA WIMBO WAKE...

Akiongea na PLanet Bongo ya East Africa Radio, Snura amesema katika Barua ambayo alipewa imeelekeza wazi kuwa Video ya Wimbo wake huo 'Chura' ndiyo imesitishwa kwa muda mpaka atakapofanya video nyingine yenye maadili na kusema watu wanaosema kuwa yey...

Read more

MMILIKI WA JUMBA LILILOPOROMOKA AACHILIWA KENYA.

Mmiliki wa jengo lililoporomoka mjini Nairobi ,Kenya na wenzake wanne wameachiliwa kwa dhamana ya dola 5000 kila mmoja wao. Walikana mashtaka ya kuua bila kukusudia. Hakimu alisema kuwa hakuna sababu mwafaka ya kuwazuilia washukiwa. Upande wa mashtaka...

Read more

BANGI YATIBU WAGONJWA UJERUMANI.

Serikali ya Ujerumani imeidhinisha mswada unaowaruhusu wagonjwa walio katika hali mahututi kutumia bangi kama dawa kuanzia mwaka ujao. Kufikia sasa ,raia wa Ujerumani wanaougua magonjwa kama vile Saratani,Ukimwi pamoja na kutetemeka kwa mwili wamekuwa...

Read more

UTEUZI WA TRUMP WAZUA UHASAMA REPUBLICAN.

Wanachama wa chama cha Republicans nchini Marekani wametofautiana kuhusu kumuunga mkono mgombea wa urais wa chama hicho Donald Trump baada ya mfanyibiashara huyo kushinda uteuzi wa chama hicho. Baadhi ya wanachama hao wameandika katika mitandao ya kijamii...

Read more

Video: SERIKALI YAFUNGIA WIMBO WA SNURA ‘CHURA’

Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo leo imetangaza kuufungia wimbo wa Snura, Chura kuchezwa kwenye redio na TV. Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano wa Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Zawadi Msalla akiongea na waandishi wa habari Taarifa...

Read more

JUSTIN BIBER ASHTAKIWA KWA KUVUNJA SIMU.

Mwanamuziki Justin Bieber ameshtakiwa kwa dola milioni 100,000 kwa madai kwamba alivunja simu. Nyota huyo ametuhumiwa kuivunja simu ya Robert Earl Morgan baada ya kujaribu kumrekodi Bieber wakati alipokuwa akinywa pombeKIsa hicxho kilitokea katika kilabu...

Read more

RANIERI:KLABU TAJIRI KUTWAA LIGI YA UINGELEZA.

Klabu tajiri katika ligi kuu ya Uingereza zitatawala kwa miongo miwili ijayo licha ya ushindi wa klabu ya Leicester kulingana na mkufunzi Claudio Ranieri. Kikosi cha Leicester kiligharimu pauni milioni 57, kikiwa ndicho cha bei ya chini zaidi miongoni...

Read more

RAIS WA ZAMANI WA BURUNDI JEAN BAPTISTE BAGANZA AFARIKI DUNIA.

Rais wa zamani wa Burundi Kanali Jean-Baptiste Bagaza amefariki akitibiwa nchini Ubelgiji. Kanali Bagaza amekuwa akitibiwa kwa muda katika hospitali ya Sainte Elisabeth mjini Brussels. "Imethibitishwa, rais wa zamani Jean Baptiste Bagaza amefariki dunia...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974