Ni leo September 28, 2016 Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezindua Ndege mpya mbili aina ya Bombardier Dash 8 Q400 zilizonunuliwa na Serikali kwaajili ya kutumiwa na kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL). Uzinduzi huu umefanyika...
Hizi ni Ndege zilizonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutumiwa na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) zinatalajiwa kuzinduliwa leo September 28, katika Uwanja wa Taifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
Mrembo Feza Kessy ambaye pia aliwahi kushiriki shindano la Big Brother Africa 2013, leo ametuletea kibao chake hiki kipya kinachoenda kwa jina la "Walete"
Ni Sepetember 27, 2016 imewasiri Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na Serikali kwaajili ya Shirikika la Ndege la Taifa (ATCl) ikitua katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jiji Dar es salaam leo. Ndege hii ni ya pili baada ya nyingine...
Hii ni kati ya habari za moto kutoka katika Studio zetu za "STARZTZ" ikiwa hii ni habari njema kabisa kutoka katika tasnia nzima ya bongo fleva mkali wa wimbo wa 'Mama Kijacho' Tunda Man amesema tarehe 12, mwezi Novemba anafunga ndoa na Mpenzi wake wa...
Ikiwa ni siku chache toka Mkurugenzi wa Hali ya Wilaya ya Ileje ndugu Haji Mnasi akiwa katika Makumbusho ya Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere baada ya kutembelea makumbusho hayo hivi kalibuni na kujifunza mambo mbalimbali aliyowahi kuyafanya...
Naendelea kukusogezea zile habari muhimu zinazoendelea kujili katika huu ulimwengu wetu, usikose kusoma makala zangu kila siku kwaajili ya kujua nini kinaendelea katika ulimwengu.
Hawa ni Wekundu wa Msimbazi ikiwa ni siku ya Jumamosi ya September 24, 2016, Wekundu wa Simbazi Simba ambao wanaelekea kucheza mchezo wao na watani zao wa Jadi Yanga, walicheza Mchezo wao wa sita wa ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Majimaji Fc. Mchezo...