Ni kati ya habari nilizonazo leo mtu wangu. Mzee wa Upako akutwa akinywa Konyagi meingi yazuka, huku wengi wakioji Sadaka anazopata anazitumia katika Ulevi, wadai hasira ya Mungu imeshuka aambiwa kutubu na ushetani wa kupenda Konyagi. Yamkuta makuu apata...
Mtu wangu wa nguvu kama unamkumbuka huyu ni yule mrembo aliyesema amebakwa , sasa leo Imejulikana kwamba mimba ni ya Msanii mkubwa!! imedaiwa kwamba alipewa mapesa mengi kuziba mdomo kunususru mahusiano ya msanii huyo.Aomba sana mtoto asifanane na baba...
Ni noma noma ile mbaaaya mtu wangu, mimi zinanikutatu habari zenye unyankuzi. Haya leo tena kwa mala nyingine Kiba na Diamond wanakutana ulingoni na kuanza kutupiana vijembe, huku kila mmoja akitaka kuonyesha yeye ni nani. Kwanza Mama Diamond aachia bomu...
Ndugu msomaji wa makala zangu naendelea kukusogezeazila habari muhimu, kutoka katika pande zote za Dunia, na hii leo nina habari zinazomhusu Mzee wa Upako. Leo hii habari inasema 'Timbwili la Mzee wa Upako lachukua masaa mawili, huku Mzee wa Upako akitishia...
Mtu wangu ni kawaida yangu kukujuza ni nini kinaendelea katika suala zima la mahusiano kwa wasanii wa Tanzania. Na leo nimekusogezea hii ya Ney wa Mitego na Nisha. Habari zinasema "Nisha apachikwa mimba na Ney wa Mitego", kwahiyo sasa nikusubili mtot...
Mtu wangu wa nguvu nazidi kuksogezea zile habari muhimu kutoka katika Ulimwengu wetu huu. Endelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kujuz ni nini kinaendelea Ulimwenguni.
November 24, 2016 tumepata good news kwa mashabiki wa staa wa Nigeria chini ya label ya The Mavins, Korede Bello baada ya kuachia collabo yake na Tiwa savage, ‘Mr Romantic‘ amerudi tena kwenye Air waves na hii ‘Do like that’ ambayo tayari nimekusogezea...