Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

VIDEO: HII HAPA VIDEO MPYA YA SHILOLE, LINAH NA WENGINE...

Huyu ni Rapper kutoka Bongo fleva anayetamba na wimbo wa 'Kama utanipenda' aliomshirikisha Richi Mavoko, sasa jana Julai ameachia rasmi ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la Too Much, imepita mikononi mwa Hanscana.

Read more

MBWANA SAMATA AENDELEA KUUWASHA MOTO ULAYA...

Mbwana Samatha ameendelea kuzishika headlines huko barani Ulaya baada kufunga kwenye Mechi yake ya kwanza ya kimataifa kwa ngazi ya klabu barani Ulaya. Usiku wa Julai 14 Genk ilikuwa inacheza dhidi ya Buducnost Podgorica Mchezo wa mtoano kuwania kufuzu...

Read more

KAMA ULIKUWA HUJUI MTU WANGU HAYA NDIO MASHA YA MASO GANGE...

Usichoke kuendendelea kuwa nami mtu wangu STARZTZ inajua unapenda nini na ndomaana naendelea kuwa nawe na kukuletea issue mpya mpya kila siku. usiache kutupia Comment hapo.

Read more

HATIMAYE HAMISA MOBETTO AMTULIZA ZARI THE BOSS LADY...

Hamisa Mobetto yupo kwenye kitimoto, mashabiki wa 'first couple' kama wanavyo jiiita wenyewe Zari na Diamond wamechukizwa na tetesi zinazoendelea kuvuma kuwa mrembo huyo ana uhusiano na muimbaji wa 'kidogo'. Kwa wale waliohudhuria birthday ya mama Diamond...

Read more

HIZIZ HAPA SABABU ZA SHAA KUJIONDOA KWENYE UONGOZI WAKE WA ZAMANI...

Ikiwa ni July 15, 2016 ambapo Malkia wa Uswazi Sara Kaisi aka Shaa amefunguka akielezea sababu za yeye kuondoka kwenye uongozi wake wa zamani. Shaa amesema "Nimekuwa na ndoto ya mda mrefu kama ya miaka mitano iliyopita tumeona wasanii ambao niliokuwa...

Read more

HIZIZ HAPA SABABU ZA SHAA KUJIONDOA KWENYE UONGOZI WAKE WA ZAMANI...

Ikiwa ni July 15, 2016 ambapo Malkia wa Uswazi Sara Kaisi aka Shaa amefunguka akielezea sababu za yeye kuondoka kwenye uongozi wake wa zamani. Shaa amesema "Nimekuwa na ndoto ya mda mrefu kama ya miaka mitano iliyopita tumeona wasanii ambao niliokuwa...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 15, 2016 KATIKA UDAKU NA HEADLINEWS...

Endelea kuwa nami ndugu msomaji katika usomaji wa habari kuu zinazojili katika pande zote za Dunia...

Read more

MHUDUMU AMCHUKULIA POA JAMBAZI NA JAMBAZI KUONAHIVYO AKAAMUA KUCHANJA MBUGA...

Ni katika New Zealand baada ya jambazi mwenye bunduki kuvamia Restaurant moja akitaka apewe pesa lakini muuzaji akachukulia poa ata hakushughurika nae kitendo kilichomshangaza jambazi na kuamua kuamsha na mia.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974