Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

BADO KIZAZAAA KWA ZAMARADI DHIDI YA SWALA LILE LA YULE SHOGA....

Ni jumanne hii katika kipindi chake cha Take One aliporusha mahojiano ya mwanaume anayejihusisha na maswala ya ushoga au mapenzi ya jinsia moja, tena aliyekubuhu na ambaye maisha hayo kwake ameyakubali na anayafurahia hicho kimekuwa kipindi controversial...

Read more

VIDEO: HUU NDIO MWONEKANO MPYA WA STUDIO YA WCB...

Ikiwa ni mwezi na siku kadhaa hivi toka tuliposikia kwamba Studio ya WCB kufungwa kwa muda kwaajili ya matengenezo, sasa imekamilika na huu ndio mwonekano mpya wa Studio hiiyo. Imeonekana kati ya picha zilizokuwa ukutani kuna na picha ya Alikiba iliyoonekana...

Read more

IGGY AFUNGUKA SABABU ZA YEYE KUMPIGA CHINI MPENZI WAKE...

Mahusiano ya Iggy na Nick yaliingia mtafaluku baada ya kuvuja kwa mazungumzo ya siri March 24, mwaka huu yaliyomhusisha Nick na Mchezaji mwenzake D'Angelo Russell wakiongea kuhusu kutongoza wanawake wengine.Aidha Juni 20, Iggy alitangaza kuvunja uhusiano...

Read more

RC PAUL MAKONDA JUNE 30, AMEPATA MSAADA TENA WA KILA WILAYA...

Mkuu wa mkoa wa Kinondoni jijini Da es salaam Paul Makonda Juni 30, 2016 amepata msaada mwingine kutoka kwa wafadhiri, ambao ni kujengwa kwa Jengo lenye Horofa mbili mbili kila Wilaya kwaajili ya kusaidia wanawake wanaojifungua.

Read more

URENO YATINGA NUSU FAINAL YA EURO 2016 KWA MKWAJU YA PENART...

Baada ya kusimama taklibani siku mbili kwaajili ya mapumziko ya mechi za Euro 2016, usiku wa June 30,2016 ulichezwa mchezo wa kwanza wa robo Fainali ya michuano hiyo ya Euro 2016, Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Euro 2016 ulikuwa poland na Ureno.

Read more

"MIMI NDIO NLIMTOA ALIKIBA, BANGI ILISABABISHA NIDROP KIMZIKI" MR BLUE ALISEMA...

Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aliyegundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana Bangi ndizo zilizosababisha yeye ashuke kimziki.

Read more

WABUNGE WATAKA CUF IFUTIWE USAJILI...

Mbunge wa viti maalum (CCM), Munira Mustafa Khatibu, ametaka Serikali kukifutia usajili chama cha Wananchi CUF kwa madai kuwa kimekuwa kikishiriki katika matukio ya kupigwa na kuharibu mali za Wananchi visiwani Pemba.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974