Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

08 Jul

HAYA NDIYO MAGOLI YA GRIEZMANN YALIYOIPELEKA UFARANSA FAINALI YA EURO 2016...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO

Ni Mchezo wa nusu fainal uliosubiliwa baada ya masaa kadhaa hivi, katika nusu fainali ya michuano ya ya pili ya Euro 2016 mchezo uliokuwa unamuhusisha timu mwenyeji, usiku wa July 7 2016 timu ya Taifa ya Ufaransa ambao ndio wenyeji walicheza dhidi ya Ujerumani katika uwanja wa Stade Velodrome. Katika Mchezo wa jana Ufaransa wamejikuta kuibuka na rekodi yao ya kuibuka washindi wa Goli 2-0 dhidi ya wapinzani wao Ujerumani.

STARZTZ

HAYA NDIYO MAGOLI YA GRIEZMANN YALIYOIPELEKA UFARANSA FAINALI YA EURO 2016...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974