Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
08 Jul

SUMA LEE AFUNGUKA LIVE KUACHA KUJIHUSISHA NA MASWALA YA MUZIKI...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Katika habari zilizoshika headlines July 8, 2016 ni pamoja na hii ya Mwanamziki aliyetikisa na headlines na hits single yake ya Hakunaga ameengia tena kwenye head line baada ya kuhojiwa kutokuonekana kimziki kwa mda mrefu amefunguka na kusema "Mimi bhana nimesimama muziki ila niombeeni dua niendelee kuzimama nifikie kuacha kabisa nizidi kuombewa dua milelena milele." Suma Lee

STARZTZ

SUMA LEE AFUNGUKA LIVE KUACHA KUJIHUSISHA NA MASWALA YA MUZIKI...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974