April 16 2017 katika uwanja wa Old Trafford Man United walicheza dhidi ya Chelsea katika muendelezo wa michezo yao ya Ligi Kuu England, upinzani mkubwa wa mchezo huu ulikuwa ni uwepo pia wa Jose Mourinho ndani ya Man United akishindana na timu yake ya...
Jumapili ya April 2 2017 game za Ligi Kuu England zilichezwa kama kawaida ila game ya Arsenal dhidi ya Man City ndio ilikuwa game inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa EPL, Arsenal walikuwa wenyeji wa Man City katika uwanja wa Emirates. Arsenal wakiwa...
Kama kawaida yangu kukusogezea zile habri za Michezo kutoka katika viwanja mbalimbali vya mpira na hii ni baada ya watani zao wa jadi Yanga kucheza jana April 1 2017 katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam FC,...
Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Man United ya England Juan Mata jina lake limerudi kwenye headlines baada ya kufanyiwa upasuaji wa groin, Mata ambaye mwanzoni mwa wiki hii alikuwa akilalamika mazoezini kuwa anasumbuliwa na groin amefanyiwa...
September 10 2016 ilikuwa siku ya kihistoria kwa makocha waliokuwa na upinzani tokea wakiwa katika Ligi Kuu Hispania Jose Mourinho na Pep Guardiola, wakati huo walikuwa wanakutana kwa mara ya kwanza wakiwa wanafundisha vilabu pinzani vya Ligi Kuu England...
Ikiwa ni jumapili ya October 23 2016 ndio siku ambayo kocha wa Man United Jose Mourinho alirudi tena Stamford Bridge kwa mara nyingine kucheza dhidi ya timu yake ya zamani ya Chelsea akiwa kakaa upande wa timu za wageni, Mourinho safari hii alirudi Stamford...
Usiikose Mechi hii kali ukakosa uondo mtu wangu jitahidi sana, maana hapa kuna wale watu wangu wa Timu Man U na wale wa Timu Chersea usikose mtu wangu. Comment hapo nione we ni shabiki wa timu gani.
Ikiwa hii ni habari kutoka katika upande wa Michezo na hii ilikuwa ni mechi dhidi ya Simba na wapinzani wao Mbao FC. Mchezo huu uliisha Simba wakiwa na ushindi wa Bao 1-0 dhidi ya wapinzani wao
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imeendelea tena usiku wa October 19 2016 kwa michezo nane tena kuchezwa kama iliyochezwa usiku wa October 18, mchezo wa Man City dhidi ya FC Barcelona katika dimba la Nou Camp ulikuwa ndio mchezo ulioteteka hisia za...
Burudani ya michezo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya iliendelea usiku wa October 18 2016 kwa viwanja 8 kuchezwa michezo 8 ya hatua ya makundi round ya tatu, moja kati ya michezo iliyoshuhudiwa ikimalizika kwa idadi kubwa ya magoli ni mchezo kati ya Real Madrid...