Top posts
-
NI KATIKA MWONEKANO MZUURI KABISA WA KANYE WEST NA MKE WAKE...
Kany West akiwa na mke wake wakiendelea kula bata huko Los Angeles Marekani. soma alafu acha comment ili akipita ajue umeona.
-
STAA WEMA SEPETU ASEMA NI 'BRAND' LAKIN HAITUMIKI TU...
Staa wa bongo Movie Wema Sepetu mrembo mwenye sifa tele, mrefu, mwenye sura na mg'ao, mwenye macho meupe makubwa ya kuvutia, pua fupi na midomo minene akiwa na mdomo wenye mwanya uliokaa kichokozi kabisa, amesema yeye ni 'brand' lakini hatumiki bule.
-
NI MSANII QUICK RACKA AKIFUNGUKA MENGI JUU YA STAA KAJALA...
Akifunguka mengi Racka amesema msanii wa Bongo movi Kajala Masanja katika Enewz Quick Racka alisema kuwa yeye na msanii huyo wa bongo movi ni washkaji na marafiki wa kalibu sana na urafiki wao una miaka miwili sasa, huku kila mtu akiwa na kazi yake.
-
TCRA: KIAMA CHA SIMU MBOVU NI LEO...
"Marehemu alikuwa mtiifu na alinipa michongo mingi nzi za uhai wake" hii ni kauli ambayo watu wengi walio na simu feki wamekuwa wakisema wakati kama huu wa kuzimwa kwa simu Alhamisi hii Juni 16, 2016.
-
LULU MICHAEL AAMUA KULUDI CHUO NA CHUKUA KOZI YA...
Lulu aamua kufunguka juu ya anachokisomea baada ya Mashabiki zake kuuliza maswali mengi baada ya kumuona mala kwa mala akipost picha akiandika maswala yanayohusu chuo. Lulu amefunguka akisema anachukua Telecommunication Engineering huku akiwa anagoma...
-
RAY J ADAI 'UCHIZI' WA KANYE WEST UNAKARIBIA KUUVUNJA UHUSIANO WAKE...
Ray J hajapenda kuwekwa kwenye wimbo Famous wa Kanye West,Ray J aliyewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi Kim Kardashian anaonekana akiwa mtupu amelala kitandani na mastaaa wengine, akiongea na Entertainment Tonight kwenye tuzo za BET, Ray J aliseema alishangaa...
-
MSANII WA FILAMU NISHA ATOA MACHOZI MAKALI JUU YA WATOTO...
Nisha ametoa sadaka kwa kufuturisha watoto wasiojiweza katika viwanja vya shule ya Sekondari Azania Upanga jumapili hii, Futari iliyohudhuriwa na wasanii wenzake na watu kutoka sehemu mbalimbali.
-
TUNDU LISSU LUMANDE KWA KUKOSA DHAMANA...
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki (Chadema) Tundu Lissu amewekwa rumande kwa kukosa dhamana, mara baada ya mahojiano na Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es salaam kufuatia kauili yake aliyoitoa jana inayowaelezwa kuwa si ya kingwana.
-
GIGY MONEY ASEMA ATOA MANENO MAZITO KWA BWANA AKE...
Gift Stanford 'Gigy Money' amethibitisha kuwa yupo mbioni kumpiga kiki bwana ake mwarabu endapo ataendelea kuwa baili, kwani yeye hakuna mapenzi anachojali ni Pesa, akiendelea kuchonga na risasi Mchanganyiko amesema katika maisha yake hataki mwanaume...
-
ANGALIA MAAJABU HAYA MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 65 AJIFUNGUA MAPACHA WANNE...
Raunigk aliyechangiwa mayai na mbegu za kiume ana watoto wengine 13 kutoka kwa baba watano tofauti. Mwanamke mmoja kutoka Berlin Ujerumani ambaye ana watoto kumi na watatu ametagaza kuwa na ujauzito tena wa mapacha wanne.
-
MAMA MAGUFULI AMSHUKURU TB JOSHUA KWA KUUNGA MKONO JITIHADA ZAKE ZA KUWASAIDIA WAZEE...
Mke wa Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Serikali, chama na wazee wakati akiwasili katika kituo cha kulea wazee cha Nkaseka kwaajili ya kutoa misaada ya chakula, mavazi, na vifaa vya M...
-
HABARI KATIKA MAGAZETI YA TANZANIA YA LEO. SOMA HAPA
Naanza kwa kukusogezea habari Mbalimbali kuhusu yaliyojili katika Magazeti ya Tanzania leo, na hizi ndizo habari kuu zilizobamba katika Magazeti yetu ya leo jisomee hapo.
-
SIKU ALIZOTOA RC MAKONDA JUU YA OMBAOMBA DAR ZIMETIMIA, JE AGIZO LAKE LIMETEKELEZWA? SOMA HABARI HIYO HAPA
Kamanda Sirro ameyasema haya"Ombaomba wengi wameanza kuondoka lakini sisi kama Jeshi na Idara zingine leo hatukuanza rasmi kwasababu unapowakamata hawa ndugu zetu lazima ujue namna ya kuwasafirisha na ni operesheni inayohusu idara nyingi, kimsingi vijana...
-
VIDEO: TAZAMA DARAJA LA KIGAMBONI LINAVOPENDEZA USIKU.
Daraja la Kigamboni linaweza kuja kuwa kivutio kingine Muhimu jijini Dar es salaam. Nikwasababu daraja hilo la 'Cable - Stay(linalobeba uzito wa nyanya au kamba) lnavutia sana usiku.
-
CRISTIAN RONALDO ANAHAMIA PSG?? FUNGUA HAPA USOME NINI KIMESEMWA
Ronaldo ni staa wa soka wa Kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid na kutaka kujiunga na timu ya Paris Saint German ya Ufaransa. Awali Ronaldo aliwahi kuhusishwa kutaka kujiunga na PSG ila leo April 19, 2016 stori kutoka 101great goals.com wameripoti...
-
AZAM FC WAMESHINDWA KUENDELEA NA MICHUANO YA CAF BAADA YA KIPIGO HIKI..
April 19 , 2016 wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la shirikisho Barani Afrika (CAF) klabu ya Azam FC ilishuka Mjini Rades Tunisia kucheza mchezo wake wa Marudiano wa Kombe la shirikisho Barani Afrika dhidi ya Klabu ya Esperence ya Tunisia....
-
Hizi ni hatua zilizochukuliwa ili jumuiya hii ya Africa Mashariki isivunjike kama ile jumuiya ya mwamzo.
Kutokana na uzoefu uliopatikana kufuatia kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya AfrikaMashariki, Mkataba wa kuanzisha upya Jumuiya ya Afrika Mashariki uliandaliwa kwakujifunza kutokana na sababu zilizopelekea Jumuiya ya awali kuvunjika. Kama njia zakuwezesha...
-
TUNDA MAN AZUNGUMZIA AJALI ALIYOIPATA
Mkali wa Ngoma ya Mama Kijacho, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ amezungumzia ajali aliyopata hivi karibuni katikati ya Idetelo na Makambako na kusababisha kifo cha mshkaji aliyekuwa naye, Kapizo kuwa, amejifunza mengi ikiwemo suala la kumuabudu Mungu linapaswa...
-
RC MAKONDA AZUNGUMZIA WATUMISHI HEWA. SOMA HABARI KAMILI HAPA
Mkuu wa Mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuhusiana na watumishi hewa waliopo katika Manispaa za Mkoa wa Dar es salaam. amesema mchakato wa kuwatafuta watumishi hewa wengine unaendelea katika...
-
JAMAA, MKEWE NA MTOTO WAO WAINGIA SUPERMAKET NA KUIBA CAMERA ZIKAWANASA.CHEKI VIDEO HAPA
Kama wewe ni mtu ambaye umezoea kwenda kufanya shopping Supermarket najua video hii inaweza kukushangaza kidogo kutokana na tukio hili la wizi Mtu wangu wangu wa ukweli .
-
RAIS OBAMA AIUNGA MKANO UINGEREZA KUBAKI KATIKA JUMUIYA YA UMOJA WA ULAYA..
Rais Baraka Obama amesema anaunga mkono UIngereza kubaki katika Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ili kuweza kuchangia katika vita dhidi ya Ugaidi na masuala ya wahamiaji na utatuzi wa migogoro ya kiuchumi.
-
TUNDA, YOUNG DEE ETI WATAOANA KWA SIRI... BOFYA HAPA
ideo Qeen 'hot' Bongo, Tunda Sabasita na Mwanamuziki David Genze ''Young Dee" watafunga ndoa ya Siri ilikukwepa maneno ya washakunaku.
-
RAIS MAGUFULI AIOMBA CANADA KISHIRIKIANA KATIKA KUKUZA UCHUMI
Rais JOHN MAGUFULI ameiomba CANADA kushirikiana na TANZANIA katika kuleta mageuzi ya kiuchumi, hususani katika uwekezaji kwenye sekta ya Kilimo, Madini, Uvuvi na Huduma za kijamii ametoa kauli hiyo Jijini DSM wakati akizungumza na Balozi wa CANADA nchini...
-
UINGEREZA YATOA MSAADA KUSAIDIA WATU WENYE MATATIZO YA MACHO MKOANI SINGIDA. SOMA HABARI KAMILI..
Shirika lisilo la kiserikali la Sight Savers la Uingereza, limetoa msaada wa zaidi ya Sh. Bil 2.2 kughalimia Mradi wa maono Singida unaotarajiwa kutekeleza kwa miaka minne
-
HII NDIYO MAANA YA NGOMA "NDINDINDI" YA LADY JAYDEE...
Lady Jaydee akitambulisha video ya wimbo huo kwa mala ya kwanza ndani ya FNL ya EATV, Jaydee amesema kwamba maana ya ya wimbo huo ni "The Ndi mimi ni kitu Tori wewe si kitu" ili kuleta fleva ya Muziki nd akaiita Ndindindi. 'Mimi ni kitu na wewe si ch...