Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 Jun

LULU MICHAEL AAMUA KULUDI CHUO NA CHUKUA KOZI YA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Lulu aamua kufunguka juu ya anachokisomea baada ya Mashabiki zake kuuliza maswali mengi baada ya kumuona mala kwa mala akipost picha akiandika maswala yanayohusu chuo. Lulu amefunguka akisema anachukua Telecommunication Engineering huku akiwa anagoma katu kutaja ni chuo gani anasomea.

STARZTZ

LULU MICHAEL AAMUA KULUDI CHUO NA CHUKUA KOZI YA...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974