Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
20 Apr

Hizi ni hatua zilizochukuliwa ili jumuiya hii ya Africa Mashariki isivunjike kama ile jumuiya ya mwamzo.

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #HABARI

Kutokana na uzoefu uliopatikana kufuatia kuvunjika kwa iliyokuwa Jumuiya ya AfrikaMashariki, Mkataba wa kuanzisha upya Jumuiya ya Afrika Mashariki uliandaliwa kwakujifunza kutokana na sababu zilizopelekea Jumuiya ya awali kuvunjika. Kama njia zakuwezesha Jumuiya ya sasa isivunjike tena, Mkataba umezingatia masuala yafuatayo:-

i. Uendelezaji wa mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mahariki hatua kwa hatua.

Hatua ya Kwanza ikiwa ni Umoja wa Forodha, ikifuatiwa na Soko la Pamoja, kasha

Umoja wa Fedha na hatimaye Shirikisho la Kisiasa.

ii. Kupnguza madaraka ya kimaamuzi.

iii. Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuongozwa na Wananchi wa Afrika Mashariki, na kuchochewa na Sekta binafsi ndani ya Jumuiya.

iv. Ushirikishwaji wa Asasi za Kiraia kwenye mtangamano.

v. Kuainishwa kwa ufasaha taratibu za kujiondoa uanachama.

vi. Mtangamano imara utatokana na uchumi imara na endelevu.

STARZTZ

Hizi ni hatua zilizochukuliwa ili jumuiya hii ya Africa Mashariki isivunjike kama ile jumuiya ya mwamzo.
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974