Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Jun

RAY J ADAI 'UCHIZI' WA KANYE WEST UNAKARIBIA KUUVUNJA UHUSIANO WAKE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Ray J hajapenda kuwekwa kwenye wimbo Famous wa Kanye West,Ray J aliyewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi Kim Kardashian anaonekana akiwa mtupu amelala kitandani na mastaaa wengine, akiongea na Entertainment Tonight kwenye tuzo za BET, Ray J aliseema alishangaa kuwepo kwenye video hiyo na hataki kuisikia. "Don't put me part of nothing that's weird, that don't make sence,"alisema "Can i grow up?"

STARZTZ

RAY J ADAI 'UCHIZI' WA KANYE WEST UNAKARIBIA KUUVUNJA UHUSIANO WAKE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974