Ndugu yangu kila mtu huwa kuna kitu ambacho kinamfanya awe mwenye furaha, namshukuru Mungu kwamba na mimi nyimbo kama hizi zinanipaga wakati mzuri sana. Sikiliza nyimbo hii ya Abeddy Ngosso anakwambia "Kimbilio langu"
Abeddy Ngosso New Video 2016 - Kimbilio...
Ilikuwa nhi august 26, 2017 Simba yavunja record ya kufunga Magori mengi iliyokuwa ni mechi dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo wa ufunguzi wa Simba dhidi ya Ruvu Shooting umekuwa mchezo wa kwanza wenye magoli mengi, baada ya Simba kufanikiwa kupata ushindi...
Hii hapa ile video mpya ya WCB Zilipendwa imayoonekana kuzishik headlines zote. Ukimaliz kuicheki acha Coment yako hapo ili ajue umeipokeaje.
The Song features all WCB WASAFI Artists including Diamond Platnumz , Rayvanny , Harmonize , Mbosso ,Lavalava...
Ni jana tu August 23, 2017 siku ambayo Jux ametualika kuisikiliza Ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la "Utaniua". Isikilize na utoe maoni yako ili akipita ajue una maoni gani juu ya Nyimbo yake hii mpya.
Icheki na uache Comment hapo chini ili akipita ajue una maoni gani juu ya video yake hii mpya.
Download here - http://smarturl.it/KnackAm Effyzzie Music Group presents the official video for Yemi Alade's single "KNACK AM". Shot and directed by Clarence...
Usisahau kushare na kuacha Coment yako hapo ili akipita aone una maoni gani juu ya ngoma yake hiyii!!!
"Questions" available everywhere now! Apple Music - http://smarturl.it/CBQuestions/applemusic Spotify - http://smarturl.it/CBQuestions/spotify Amazon...
Moja kati ya vitu mashabiki walikuwa wakivisubiri kwenye uwanja Zakhem Mbagala kuviona ni pamoja na show ya wakali wawili kutoka WCB, Rich Mavoko na Harmonize walipoitambulisha kwa Mara ya kwanza mdundo wao mpya wa ‘Show Me‘ kwa watu wao Mbagala
Moja...
April 16 2017 Harmonize na Rich Mavoko kutoka WCB wametuzogezea video ya wimbo wao mpya ‘Show Me’ usisahau pia kuniachia comment yako hapa chini na wakali hawa wataziona hapa
WCB WASAFI For Bookings contact :harmonize@yahoo.com Follow me on: Twitter :...
Hivi karibuni Msanii Joh Makini kutoka kundi la Weusi, aliwaahidi mashabiki zake juu ya kufanya kolabo na msanii Davido wa Nigeria, sasa April 3 kupitia ukurasa wa Instagram wa Mwimbaji na staa kutokea Nigeria Davido amethibitisha kuwa tayari washaanza...