Ni habari iliyowaacha wengi midomo wazi baada ya denti wa Bongo kupigwa Risasi, ikiwa ni mida ya saa tatu usiku, rafiki yake asimulia mazito. Pata habari kamili kwakujipatia nakala yako ya Gazeti la AMANI sasa!!
Msanii Chid Benz amekanusha tarifa zilizopo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii na vyombo vya habari zikisema kuwa yeye ametoroka Rehab Bagamoyo alikokuwa akifanyiwa matibabu ya kuacha madawa ya Kulevya.
Mbunge wa mukeba kusini (CCM), Profesa Anna Tibaijuka jana alikuwa mkali Bungeni akisema yeye si mwizi na kuwabeza wanaomuita hivyo kuwa wataisoma namba.
Dkt. Mahiga alisema kwamba mke wake alipishana kauli na askari huyo aliyeahamika kwa jina la Deogratius Mbango, na hakutoa Lugha ya matusi kama inavyodaiwa, alisema baada ya kupokea taarifa hiyo, alifuatilia ili kujua ukweli, ikiwemo kusikiliza sauti...