Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

matukio

VIDEO: HUU NDIO MTI WA MAAJABU ULIOKUWA GUMZO KUBWA KUKATAA KUKATWA...

Headlines za mti uliodaiwa kuwa wa maajabu Mwanza bado zingali zinatrend kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hasa baada ya mti huo kudaiwa kuwa umewahi kuongea na kugoma kukatwa ingawa tayari umeshakatwa. New story leo May 17, 2017 kuhusu mti huo ni...

Read more

LORI LABIRINGITA MWELEKA WA NGUVU BAADA YA KUACHA NJIA NA KUANZA KUCHANJA MBUGA HUKO WILAYANI MAKETE

Lori aina ya Isuzu TX lenye namba za usajili T 721 BVV lililokuwa limebeba mawe likiwa limepinduka katika kijiji cha Masisiwe na kusababisha majeruhi na kifo cha mtu mmoja ambaye alikuwa katika lori hiloTaarifa za awali kutoka eneo la tukio zinasema kuwa...

Read more

HIKI NDICHO KIUMBE KINGINE WALICHOKIGUNDUA WANA SAYANSI KINACHOADILIKA KAMA KINYONGA...

Unaweza kutoamini lakini inapofikia wakati ikathibitishwa ni lazima kuamini. Tumekuwa tukiamini kwa kusikia na wakati mwingine kwa kuona kwa macho yetu kuwa Kinyonga ndiye kiumbe Pekee anayeweza kubadilisha rangi yake kulingana na mazingira. Leo nimekutana...

Read more

VIDEO: PAUL MAKONDA AJA KWA KASI AKISEMA YEYE SIYO MWANASIASA ANAYETAFUTA SIFA ZA KIJING!!!....

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda leo March 14 2017 ametembele moja kati ya maeneo yaliyokubwa na Mafuriko yaliyotokana na mvua iliyotokea March 13 2017, Buruguni Mnyamani ndipo Paul Makonda ametembea na ameagiza Nyumba 36 zilizokuwa pembezoni...

Read more

RONALDO AZICHANGIA FAMILIA ZA WACHEZAJI WALIOKUFA KWENYE AJARI YA NDEGE...

Bado dunia na ulimwengu wa soka kwa sasa unaomboleza msiba wa msafara wa timu ya Chapocoense ya Brazil uliyopata ajali wakati wakielekea kutua uwanja wa ndege wa Medellin Colombia. Ajali hiyo ya ndege imehusisha watu 81 kati ya hao 76 wamepoteza maisha...

Read more

KHA!! MZEE WA UPAKO USIRUDIE USHETANI HUU, AKUTWA AKIJISHUSHIA KONYAGI...

Ni kati ya habari nilizonazo leo mtu wangu. Mzee wa Upako akutwa akinywa Konyagi meingi yazuka, huku wengi wakioji Sadaka anazopata anazitumia katika Ulevi, wadai hasira ya Mungu imeshuka aambiwa kutubu na ushetani wa kupenda Konyagi. Yamkuta makuu apata...

Read more

VIDEO: RC PAUL MAKONDA AAMULU MWENYEKITI AKAMATWE KATIKATI YA MKUTANO...

November 24 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salam, Paul Makonda ameendelea na ziara yake ya siku 10 ambayo lengo ni kukutana na wanannchi kwa ajili ya kusikiliza kero zao. Ilikuwa ni zamu ya Ilala na hapa ulikuwa ni mkutano wa hadhara Chanika, katika mkutano...

Read more

NI MIAKA MINNE SASA YA KIFO CHAKE, KANUMBA AMTOKEA SOPHIA USIKU...

Mtu wangu bila kukosea nafikili utakuwa hujamsahau huyu staa kutoka katika tasnia ya Bongo movie Marehemu Steven Kanumba. Sasa leo katika habari nilizonazo hapa Studio ni pamoja na hii ya staa huyo kwa mujubu wa taarifa nilizonazo ni kwamba kamtokea mtoto...

Read more

MAUZA UZA KARIAKOO YAZUA TAFRANI, MAMA NTILIE WAPANDISHA MASHETANI....

Katika habari nilizonazo leo nipamoja na hii leo Katika Soko Kuu la Dar es Salaam Kariakoo, Mama Ntilie 7, wapandisha mashetani, wamfanya Shehe kuwa kwenye wakati mgumu.

Read more

ZE MAJANGAZI!! BWANA AONJA KIPIGO HEVI KUTOKA KWA MKE WA KWANZA WAKATI AKITAKA KUFUNGA NDOA YA PILI!!

Weekend hii siku ya Jumamosi mkoani Arusha wakati ndoa ikifungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri ‘KKKT’, Usharika wa Usa River, wilayani Arumeru ziliibuka vurugu baada ya pande mbili zilizokuwa zikivutana upande mmoja ukidai bwana harusi anafunga...

Read more
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974