Top posts
-
ZARI ANYOSHA MIKONO KWA DIAMOND, HII NI BAADA YA KUTAMBUA...
Staa Zari ali maarufu kama mama Tiffah Dangote, mke wa Staa kutoka katika tasnia ya bongo fleva Diamond Platnumz, leo ameonekana katika Headlines zetu kwa habari inayosema, Zari anyosha mikono kwa Diamond, hii ni baada ya kuitambua rasmi michepuko yake...
-
NI MAZINGIRA MAZURI YANAYOPENDEZA, KAMA UNAAMINI KWAMBA...
Ndugu msomaji, wa makala zangu napenda kukusogezea zile habari kutoka katika maeneo mbalimbali katika pande zote za Dunia. Endelea kuwa nami uyajue mengi.
-
HII NI REKODI MPYA TENA ALOIWEKA DJ KHALED NA DRAKE...
Hii ni baada ya kushika nafasi ya kwanza kwenye chart ya Billboard upande wa Albam bora za Hip Hop & R &B, star anayeongoza kwa kufanya collabo zenye list ndefu ya wasanii Nchini Marekani, DJ Khaled ameingia kwenye headlines zetu baada ya Single yake...
-
NDEGE YA PILI YAWASILI LEO JIJINI DAR ES SALAAM...
Ni Sepetember 27, 2016 imewasiri Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na Serikali kwaajili ya Shirikika la Ndege la Taifa (ATCl) ikitua katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jiji Dar es salaam leo. Ndege hii ni ya pili baada ya nyingine...
-
HII SI YAKUKOSA MTU WANGU NI OCTOBER 1, 2016 DHIDI YA HAWA WATANI WA JADI...
Kama kawaida yangu mtu wangu nakusogezea zile habari muhimu zinazoendelea kujili katika Ulimwengu wetu huu na hii si ya kukosa ikiwa ni Mchezo wa watani wa Jadi mechi kali kati ya Simba na Yanga watakavyoonyesha ubabe katika uwanja wa Taifa jijini Dar...
-
MASOGANGE AZUA UTATA BAADA YA TAARIFA KUVUMA....
Na hii ni kati ya habari nilizonazo hapa katika Studio zetu hizi inayosema "Masogange adaiwa kuwa na Ngoma" inadaiwa kuwa alienda kupima kimyakimya huku akiwaacha na hofu waliotembea nae.
-
ZE MAJANAGAZI, RAY AVUNJA NDOA YA MTU...
Na hii ni kati ya habari nilizonazo zinazomuonesha Staa wa Bongo movie Ray kukutwa na skendo hii ya kuvunja ndoa ya mtu. Inasemekana amevunja ndoa ya mtu huku ikidaiwa chanzo ni kugombea penzi la Chuchu.
-
MAKUBWA YAIBUKA KWA DIAMOND, AOMBA KWA MUNGU...
Kama kawaida yangu kuzulula nikitafuta habari za kukujuza wewe na leo nimekutana na hii ya huyu Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz inayosema "Diamond amuomba Mungu apate mtoto wa kiume" huku nyingine zikisema Diamond amepoteza Imani kabisa na Tiffah,...
-
MSANII WA BONGOFLEVA AFUMANIWA NA MKE WA MTU, INADAIWA NI MKE WA MJOMBA...
Nikama kawaida ya Mtangazaji Soudy Brown amepiga story na inayedaiwa kuwa ni mke wa msanii maarufu kwa jina la Mjomba. Stori kubwa ni kuhusu msanii aliyewahi kufanya poa kwenye music industry ya Bongo Flava, Abubakar Mzuri ambaye alikuwa zao la mashindano...
-
MECHI YA LEO NI KATI YA MANCHESTER UNITED Vs CHERSEA, WAKIWA WANASHUKA NDANI YA DIMBA...
Usiikose Mechi hii kali ukakosa uondo mtu wangu jitahidi sana, maana hapa kuna wale watu wangu wa Timu Man U na wale wa Timu Chersea usikose mtu wangu. Comment hapo nione we ni shabiki wa timu gani.
-
HUKU AKIKOSA TUZO ZA SAUZI, NYUMBA YA DIAMOND YATEKETEA KWA MOTO, WAPANGAJI....
Ni October 25, 2016 nikiwa na hii habari ya staa kutoka katika Tasnia ya bongo fleva Diamond Platnumz, leo nimekuletea habari hizi mbaya kidogo zinazohusu Nyumba yake kuteketea kwa moto hali iliyosababisha wapangaji kulala nje huku mama Diamond akisitisha...
-
HAMISA MOBETO KAWA SALOME WA DIAMOND JUMLA!!! WATU WABAKI MIDOMO WAZI NINI HASA....
Mrembo Hamisa Mobeto ameonekana kuingia katika headlines zetu leo kwa hii habari inayomuhusu, ni kuhusu tetesi zilizojaa kote na hasa katika mitandao ya kijamii zinazosema Diamond amempata Salome mpya, hizi sasa nyingine leo zinasema "Hamisa Mobeto kamfia...
-
SIRI NZITO ZAVUJA, WEMA AOLEWA KWA SIRI MAJANGA MENGI YAZUKA NANI KAIBA NANI KAIBIWA...
Hizi ni habari zinazomuhusu staa wa Bongo Movie Wema Sepetu zinazosema "Wema Sepetu aolewa kwa Siri !!" huku ningine zikisema bwana harusi ni mwana Siasa maarufu, inasemekana kwamba bwana huyo alimuacha mkewe, kumbe safari ya China ilikuwa siri kubwa,...
-
MKE WA MZEE MAJUTO ACHARUKA AMJIA JUU MME WAKE KISA PICHA ZA KIMAHABA ZA YEYE NA....
Ktika habari nilizonazo hapa Studio ni pamoja na hii ya mzee Majuto na mke wake, noma sana habari zinasema Mke wa Alhaj Mzee Majuto acharuka, amjia juu mrembo anayetikisa ndoa yake, huku mzee Majuto akibanwa na kutoa ya moyoni mwake. Inasemekana ni baada...
-
JACKLINE WOLPER NAYE LEO AJA NA MAPICHA PICHA, ADAI KUBADILISHA MABWANA HAPENDI....
Ni habari niliyokutana nayo leo wakati pitapita zangu, Leo staa huyu wa Bongo movie kaja na hii pya akisema anabadilisha bwana hapendi ujinga!!! Kwahiyo ndo Tuseme Harmonize kapigwa chini au veepe??!
-
YAMEJULIKANA!! HAKUNA SIRI TENA JOKATE AFUNGUKA SIRI ZAKE ZOTE ZA KITANDANI NA ALIKIBA...
Huyu ni Mrembo Jokate Mwegelo akionekana katika headlines zetu leo, hizi habari zinamhusu, zimenikuta mtaani nikizurula huku na kule kuzisaka za kukujuza ndugu msomaji, nikakuikuta na hii ya Jokate akifunguka yake na mumewe Alikiba asema mahaba anayompatia...
-
JACKLINE WOLPER AAANZA VITUKO, ATAKA KUMTEMA HARMONNIZE, WATU WAMSHANGAA....
Hii ni moja kati ya habari nilizonazo leo hapa mjengoni, zikiwa zinawahusu wapendanao hawa wawili Jackline Wolper na Harmonize, bila kukosea sidhani kama kuna mtu ata mmoja ambaye hakusikia kilichokuwa kikiendelea baina ya hawa wawili, Mtu wangu ni wiki...
-
WEMA NA MUNA WAMELOGWA?!, KILA MMOJA AYAANIKA MADUDU YA MWENZAKE HADHARANI...
Hi ni habari inayomhusu staa kutoka katika Tasnia ya bongo movie, Wema Sepetu na shosti wake Muna, Sasa mitandao ya Kijamii ni madudu yao tu!! kila mmoja amwanika mwenzake, ni ishue yakuendeana kwa Sangoma imebumburika.
-
DONALD TRUMP AYATIA MATUMBO JOTO MAREKANI, ASEMA KUFUNGA MITANDAO YA KIJAMII...
Watu wasema Trump ni Magufuli wa Pili, Awa Rais wa kwanza MArekani kukataa Mshahara wa milioni 800, Inadaiwa ametangaza kuzifunga Whatsapp, Faceboock na Instagram Wamarekani matumbo joto waanza kuisoma namba.
-
NI PEPO LA NGONO AU NI NINI? WEMA SEPETU SASA ATOKA NA MTOTO WA UMRI WA KUMZAA...
Na hii ni kati ya habari nilizonazo hapa Studio zinazomhusu staa wa bongo movie Wema Sepetu zinazo muonyesha Wema Sepetu akiwa anakula Denda na Mtoto mwenye umri wa kumzaa kabisa. Jambo hili limewasikitisha wengi sana na zaidi mashabiki wake, wakiishia...
-
MSANII WA BONGO FLEVA TID LEO ANATUELEZA HAYA JUU YA KUPOTEA KWA UHARISIA WA MUZIKI WA BONGO...
Msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva TID amedai uhalisia wa muziki huyo umepotea baaada ya baadhi ya wasanii kuiga muziki wa nje Akiongea katika kipindi cha Ubaoni cha EFM Alhamisi hii, TID amesema muziki wa bongofleva umetokana na mchanganyiko wa muziki...
-
MATOKEO YA MCHEZO WA MANCHESTER UNITED NA ARSENAL NOVEMBER 19, 2016 HAYA HAPA...
Novembe 19, 2016 ulichezwa mchezo barani Ulaya uliozikutanisha timu mbili , ikiwa ni Manchester United na Arsenal mchezo ulioisha kwa timu zote mbili zikitoka kwa sare ya bao 1-1.
-
ALIYETOBOLEWA MACHO KILIO UPYA!! MTAFARUKU WAMKIMBIZA MUHIMBILI KWA MAUMIVU MAKALI...
Mtu wangu najua hujasahau kuhusu habari za yule mtu aliyetobolewa macho na Skopioni, sasa leo amekuja na kilio upya kwani umebainika Maumivu yaanza kuzidi, yahamia Mashavuni na Kiunoni, awasihi watanzania kumsaidia, "Watanzania nisaidieni nikatibiwe nje...
-
MAJANGA MENGINE YAIBUKA KWA MUME MA LADY JAY D, ASAKWA NA WANAWAKE LUKUKI...
Leo katika tembea tembea yangu nimekutana na hii habari inayomhusu mume wa Lady Jay D. Habari hii inasema Mume wa Jide asakwa na wanawake wakidai kwamba ana macho yenye mvuto.
-
NISHA AZAMA KWENYE PENZI ZITO NA NEY WA MITEGO, NISHA APATA UJAUZITO....
Mtu wangu ni kawaida yangu kukujuza ni nini kinaendelea katika suala zima la mahusiano kwa wasanii wa Tanzania. Na leo nimekusogezea hii ya Ney wa Mitego na Nisha. Habari zinasema "Nisha apachikwa mimba na Ney wa Mitego", kwahiyo sasa nikusubili mtot...