Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Jun

GIGY MONEY ASEMA ATOA MANENO MAZITO KWA BWANA AKE...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Gift Stanford 'Gigy Money' amethibitisha kuwa yupo mbioni kumpiga kiki bwana ake mwarabu endapo ataendelea kuwa baili, kwani yeye hakuna mapenzi anachojali ni Pesa, akiendelea kuchonga na risasi Mchanganyiko amesema katika maisha yake hataki mwanaume bahili wala asiye na fedha hivyo kwa hiyo kwa huyo Mzungu kwa siku za mwanzoni alikuwa akimpatia pesa nyingi na sasa anambania kumpa hela kidogo kwahyo adai kumtosa muda si mrefu.

STARZTZ

GIGY MONEY ASEMA ATOA MANENO MAZITO KWA BWANA AKE...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974