Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

mchezo na burudani

VIDEO MPYA YA BOB JUNIOUR HII HAPA INAITWA "CHUKUCHUKU"..

Baada ya ukimya mrefu Bob Juniour leo anatualika kuisikiliza ngoma yake hii hapa mpya inayoenda kwa jina la "Chukuchuku" Brand New Video by Bob Junior

Read more

HAYA NDIYO ALIYOYASEMA LINAH SANGA KUHUSIANA NA YEYE KUWA NA NAFASI KATIKA MZIKI WA BONGO...

Linah Sanga amedai kuwa nafasi yake bado ipo japo ameonekana kutofanya vizuri kwenye muziki kwa sasa. Miaka miwili iliyopita msanii huyo alionekana kuwa moto zaidi hasa baada ya kuachia wimbo wa ‘Ole Themba’ huku mashabiki wakitarajia mafanikio makubwa...

Read more

NEW AUDIO: HII NI YA NUH MZIWANDA Ft ALIKIBA 'JIKE SHUPA'..

Baada ya kufanya vizuri na hit single kadha ikiwemo 'Bilima' katika Game ya muziki wa Bongo fleva Nuh Mziwanda leo April 26 2016 ameachia brand new track aliyomshirikisha Alikiba, Mziwanda ameachia Audio ya 'Jike shupa'. www

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974