Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
04 Nov

HAYA NDIYO ALIYOYASEMA LINAH SANGA KUHUSIANA NA YEYE KUWA NA NAFASI KATIKA MZIKI WA BONGO...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MCHEZO NA BURUDANI

Linah Sanga amedai kuwa nafasi yake bado ipo japo ameonekana kutofanya vizuri kwenye muziki kwa sasa.

Miaka miwili iliyopita msanii huyo alionekana kuwa moto zaidi hasa baada ya kuachia wimbo wa ‘Ole Themba’ huku mashabiki wakitarajia mafanikio makubwa zaidi kutoka kwa msanii huyo lakini baada ya muda matarajio yake yakawa tofauti.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5, “Unajua kila jambo na wakati wake, na kila kitu kinatokea kwa sababu. Nafasi bado ipo ila mbaya ni changamoto ndogo ndogo zilizopo.”
Kwa sasa muimbaji huyo ameachia video yake mpya ya ‘Raha Jipe Mwenyewe’.
Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

STARZTZ

HAYA NDIYO ALIYOYASEMA LINAH SANGA KUHUSIANA NA YEYE KUWA NA NAFASI KATIKA MZIKI WA BONGO...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974