Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
29 Jun

MSANII WA FILAMU NISHA ATOA MACHOZI MAKALI JUU YA WATOTO...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIO

Nisha ametoa sadaka kwa kufuturisha watoto wasiojiweza katika viwanja vya shule ya Sekondari Azania Upanga jumapili hii, Futari iliyohudhuriwa na wasanii wenzake na watu kutoka sehemu mbalimbali.

STARZTZ

MSANII WA FILAMU NISHA ATOA MACHOZI MAKALI JUU YA WATOTO...
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974